US bombers fly close to North Korea

US bombers fly close to North Korea

Nilizani ya kuwa kazipeleka ndege zake ktk himaya ya wababe nkorea, kumbe ni karibu na mpaka wa NK. Kumbe USA ni tupu kabisa, alishaambiwaga ya kuwa andondoshe hata kokoto tu katika mchanga wa bw kim, hapo ndipo dunia itashuhudia nguvu halisia ya hermit empire
 
Gays speech
USA has showed military showcase in Korean Peninsula and it went as much closer to North Korea!!!
The deployed destroyer were the B1 Suicide Bomber escorted by F -35 the finisher !!!
Eti Mbwa Kim Jung Un sijui anataka nini!!! As a an international community we must come out and remove Kim family from power!!! This is a right time than never ever before!!
We need to live in our world peacefully!!! Without any intimidation!!!
Kim Must be be Assassinated by any means or Pyongyang must be destroyed to keep our world safe for our new generation.
 
U.S mchape fasta fasta kiduku... unachelewa nn.. Do it now..!! Aaaarrrgghww
Hii vita sio kama unavyodhani... I guess US akilianzisha basi atapambana na NK, RUSSIA, IRAN PLUS CHINA kwani hao ni allies
 
Poyoyo kweli Wewe, hata Saddam mlimsifia hivi hivi, Leo yuko wapi?
China imeshamwokoa nani kijeshi na kiuchumi? Mugabe alipowekewa vikwazo akakimbilia China, je alipata nafuu?
Tatizo mmejaa ushabiki bila fact.
Wew unaweza kupigiwa mkeo hivi hivi unaona !
 
Mzee soma nembo za product nyingi hata hizi iPhone tunazo tumia zimeandikwa assembled in China made in america mchina hana ubunifu uchumi na maendeleo yake ya kisayansi ni yakuiga tunaita vertical progress anakua kwa kuendeleza kilichopo na nikutoka marekani na kusimama kwa China kunatokna na financial support kubwa kutoka marekani so hawezi kua upande wa Korea maana marekani itamuwekea vikwazo vya kiuchumi
Unakosea sana ni hv
Mchina anaringia vitu vitatu vikubwa soko,cheap labour na capital
wala hamuhitaji marekani katika hili....ila marekani ndio anamuhitaji
mchina......ndio maana leo kutokana kuwa na cheap labour huko china marekani
viwanda vyake vingi amehamishia china ku minimise cost of production katika
swala zima la nguvukazi (man power)
 
"if the US was forced to defend itself or its allies"

mbona anamaneno ya kujihami sana....na kuwataja taja hao washirika wake, huyu jamaa muoga tu, maneno meeengi alafu hamna kitu.
 
Nilizani ya kuwa kazipeleka ndege zake ktk himaya ya wababe nkorea, kumbe ni karibu na mpaka wa NK. Kumbe USA ni tupu kabisa, alishaambiwaga ya kuwa andondoshe hata kokoto tu katika mchanga wa bw kim, hapo ndipo dunia itashuhudia nguvu halisia ya hermit empire
 
Technology sasa kila nchi wanayo sio siri tena.
Sleeping agent kila nchi wanawatumia
Kama ni elimu inafuatwa kila mahali.

Hivi karibuni manowari za kivita za USA ziligongana na meli zingine, wengi walishangaa na kusema itakuwaje Marekani na maarifa yote hayo.

Watajiuliza sana lakini ukweli ni kwamba mataifa mengi kama China na Russia, Iran, Pakistan, India wako vizuri pia.

China wamemvuruga sana
8c1b7c0a4d94b22f3696451061871966.jpg
80f76105691e41e0a3590a1e98a6f155.jpg
Vipi na ile manowari ya Urusi iliyogongana na meli ya mizigo mapema mwaka huu na ikazama, nayo ilidukuliwa nini?!.
3b5d8eabf4aa87a026d0a492eec63577.jpg
 
Mmarekani atachapwa na itakiwa haibu.
Ukizingatia china anapiga jalamba akiwa upande wa Pyongyang.
Yani sijui unawaza nini,kabisa marekani apigwe na huyu mtoto...fikiria tena mkuu...marekani mtu mwingne
 
The greatest leaders i have ever seen don't threaten unless their ready to act I think Mr Trump is not yet ready to act
 
Mmarekani anaomba vikwanzo vya UN vifanye kazi zaidi ya hapo ni maombi ksb wote US, NK na allies wao hawataki vita.
 
Back
Top Bottom