US bombers fly close to North Korea

US bombers fly close to North Korea

North Korea Chemical weapons (Mwambie US arushe jiwe ndani ya NK na itaitwa vita kamili)

Chemical-weapons-e1458070184305.jpg
 
Walio nyuma ya kiduku wengi wanafiki kama yeye mwenyewe akishindwa kusimama basi atapata msaada akiwa ameshazidiwa Sana na msaada wa kinafiki tuache porojo Russia na China Iran Nani wamewai kumsaidia mwanzo mwisho hizo nchi ni wanifiki Sana Wana urafiki wa kinafiki kinafiki kiduku ajiimalishe yeye kama yeye sio hao wanafiki
Tutajie ni vita gani USA alipigana bila Allies?
 
Na ubabe wake bado tu anajipitisha pitisha kama mtoto wa kike. Kama ana nguvu si amchape tu tujue moja.
Ukiona mwanamke anapita anatingisha chura ujue bado hajafanywa!
 
kama marekani anategemea zaidi ndege za kivita kwenye mission, ni rahisi kushindwa vita iwapo adui atakuwa na good and accurate Air defense systems kma S 300, S 400, & S 500 za Urusi zenye uwezo mkubwa wa kutungua ndege na ku-intercept makombora
 
US bombers have flown close to North Korea's east coast in a show of force, the Pentagon says.
The move is to demonstrate that President Donald Trump has a "range of military options to defeat any threat", spokeswoman Dana White said.
The US and North Korea have ramped up their rhetoric recently.
At the UN on Tuesday, Mr Trump said that he would "totally destroy" North Korea if the US was forced to defend itself or its allies.
Marekani ni kama mbwa anayebweka bweka alafu hana madhara, yaaani anabweka tu kama jibwa koko!1

Kiduku amevurumusha makombora mawili kwenye anga la japan yeye mmarekan anacheza rede kwenye pwani ya kiduku??
 
Back
Top Bottom