US bombers fly close to North Korea

US bombers fly close to North Korea

Kama north Korea atasimama mwenyewe, haiwezi USA labda aungane na Russia
 
Yaan huyu USA anajiaibisha tu..kila siku anarudia hayohayo tu....si atupe hata kombola moja la demonstration tuone kwamba hatanii .otherwise atulie tu ..apambane na hali yake....
 
Uzi huu nitaurudia wiki ijayo ambapo kidugu atakapo rusha kombora kali kuliko yote na UN kukutana kufikiria vikwazo vipya na kuwawekea vikwazo vya kukosa mvua miaka yote.

Unafikir kwa akili ya kawaida iran atamnyima NK mafuta wakat wote wanacheza wimbo mmoja.

Tunajidanganya sana.
Unavyo ambia a b na c yote majibu sahih ila chagua jibu sahih zaid lazima uwaze kwa upana na sio kuangalia rangi na ukubwa wa jambo
 
Subiri uone
unafikir trump ni obama?
Unamfahamu huyu jamaa???
George-W-Bush.jpeg

Bush kaharibu sana lakini hajawahi kudhubutu kuisongelea N.Korea hujawahi kujiuliza ni kwanini??

Hii week haita isha N.Korea atatest bomu la nuclear la masafa marefu..... Na huu ndiyo mda wa kurusha kombora kisiwa cha Guam, halafu tuone Trump ata react vipi....

Trump anacho ofia ni jeshi lake limejaa mashoga wakienda vitani hawata rudi wataolewa na wanaume wa N.Korea....
 
Kama north Korea atasimama mwenyewe, haiwezi USA labda aungane na Russia
Marekani kwenye vita hawezi kusimama peke yake na akashinda na Marekani vita vya ardhini ni mbovu yupo vizuri angani.....

marekani alienda Somalia walikimbizwa kama vile walikuwa hawana akili nzuri,
 
Unamfahamu huyu jamaa???
George-W-Bush.jpeg

Bush kaharibu sana lakini hajawahi kudhubutu kuisongelea N.Korea hujawahi kujiuliza ni kwanini??

Hii week haita isha N.Korea atatest bomu la nuclear la masafa marefu..... Na huu ndiyo mda wa kurusha kombora kisiwa cha Guam, halafu tuone Trump ata react vipi....

Trump anacho ofia ni jeshi lake limejaa mashoga wakienda vitani hawata rudi wataolewa na wanaume wa N.Korea....

wataolewa ila hawata zaa
 
Sasa si wangeingia anga la korea kaskazini tuone?,
kama ni mandege kila siku wanayapitisha hapo,
north korea ilianza kujiandaa na hivi vita tangu miaka ya 70,
wamekamilika kwa kila hali,
underground infrastructure yao tu sio ya dunia hii,
hata ile reli yao ya chini ya ardhi,iko deep kuliko yeyote na iliundwa pia kufanya kazi kama bomb shelter
 
Back
Top Bottom