Manyovumpya
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 742
- 505
Usiseme watanzania taja ndugu zako sisi wengine tunaipenda sana serikali kwa mambo mengi mazuri wanayofanya ikiwemo kupambana na mafisadi na wezi wa rasilimali zetu. Kifupi naonga mkono yote aliyosema Musiba na hasa hiyo list kwani binafsi nayafahamu vizuri anayoongea. Uzalendo ni pamoja na kutetea nchi yako. Siwezi kufurahia au kuwapenda wanaotaka kuharibu amani ya nchi kwa uroho wa kujinufaisha na rasilimali za nchi hii. Watu wanataka kutuchagulia mpaka marafiki eti usiwe na urafiki na south korea ili iweje?? Tena mm ningekua ndio rais ningemwita Kim Jong Un aje kukaa hapa hapa Tanzania. Kama ww sio mgomvi unaogopa nyuklia za mtu kwann?? Na hao hiyo list ya Musiba ifanyiwe kazi kweli kama mwenyekiti wa saccos ile ya kaskazini huyo....niseseme mengi.Naona mnaharisha sasa.
Nasema jeuri na dharau kwa watanzania mlizo tuonyesha mtaisoma namba tu.
Watanzania hatutaki ujinga, mlifikiri mikwara yenu na matamko ya kijinga tutawavumilia???
Sasa mnahara wenyewe.
Naomba utakaesoma hii ikikukera usijibu au ukijibu ujibu kwa adabu zote otherwise......hahahaa utajuta