US and German Governments Must Respond To These Serious Allegations

US and German Governments Must Respond To These Serious Allegations

Jamani kwani mna haki ya kuongea na kusikilizwa nyie tu.

Mi naona jamaa ana haki hiyo pia. Ni kuvumiliana tu kinachotakiwa.

His utterances and expressions are fully protected by the Constitution and the laws of this country.

In USA vs Rosika Schwimmer 279, 1929 U.S

Holmes, CJ (judge) observed that;

"If there is a principle of the Constitution that imperatively calls for attachment, it is the principle of free thought - not free thought for those who agree with us but freedom of the thought that we hate"

Kwa hiyo mwacheni afurahie uhuru huo. Msipende kusikia mnayoyapenda tu bali pia muwe tayari kusikia msiyoyapenda. Na hili lipo kwa mujibu wa Katiba yetu ya mwaka 1977.
 
Kuna tatizo la vyombo vyetu vya habari, hasa hizi blogs, inaonekana mtu yeyote unaweza kuwa na press hata ya kijinga waandishi wakaja kusikiliza.
 
Mbowe alitimuwa mbio mithili ya Hamorapa
Na huku nako Mbowe unamuhusisha? Yaani JS nadhani waweza ligeuza jina hilo kuwa tusi jinsi unavyo mchukia. Fikra kuwa alikutatua rinda na kukushit inakuja haraka, madam DM
 
This man is very gisgusting. Alafu inaonekana kabisa ni kilaza, hivi anajua kazi ya FBI? Angela Markel anaingiaje hapa? You can't just accuse a foreign government in such a stupid way

Magufuli anajichafua sana kuwatumia watu zero brain kama huyu Musiba. Shithole,
Hahahaa mkuu nimeshangaa sana huyu jamaa, halafu mtu wa serikali anayetumia watu kama.hawa ndiye tunategemea atuletee maendeleo??

Anaongea ongea tu hata cha kuongea hajui, hivi kwa jeshi lipi tulilonalo la kufatilia mawasilino kati ya aMange na FBI?

Anyways huyu ni coward tu anayelinda na kutumikia tumbo lake. Ukiangalia kwa haraka haraka watu wanaoikosoa serikali na kwa kutumia vigezo na uzombi wa serikali ndio anaowatuhumu kuwa ni waty hatari.

Natamani hizi shutuma ziwafikie akina Angela mark wa CDP na hao akina FBI, yaani mjinga tu mmoja kwa sababu ya njaa ya tumbo anataka kutuchonganisha na hao mabwana??

Polisi na vyombo vingine vya usalama ntawadharau huyu jamaa wakimchekea, yeye ndiye mtu hatari zaidi.
 
Hhahahaha huyu jamaa bora angelisema Mange kimambi natumiwa na CIA ningelimfahamu,sasa yeye mwenyewe hawezi kufahamu kuwa mtu anaemwita kahaba kawaza kuwahamasisha vijana zaidi milllioni moja,,ujue vijana wamechoka na CCM
 
This man is very gisgusting. Alafu inaonekana kabisa ni kilaza, hivi anajua kazi ya FBI? Angela Markel anaingiaje hapa? You can't just accuse a foreign government in such a stupid way

Magufuli anajichafua sana kuwatumia watu zero brain kama huyu Musiba. Shithole,
kulikua na haja ya kutukana hapo?
 
Jamani kwani mna haki ya kuongea na kusikilizwa nyie tu.

Mi naona jamaa ana haki hiyo pia. Ni kuvumiliana tu kinachotakiwa.

His utterances and expressions are fully protected by the Constitution and the laws of this country.

In USA vs Rosika Schwimmer 279, 1929 U.S

Holmes, CJ (judge) observed that;

"If there is a principle of the Constitution that imperatively calls for attachment, it is the principle of free thought - not free thought for those who agree with us but freedom of the thought that we hate"

Kwa hiyo mwacheni afurahie uhuru huo. Msipende kusikia mnayoyapenda tu bali pia muwe tayari kusikia msiyoyapenda. Na hili lipo kwa mujibu wa Katiba yetu ya mwaka 1977.
Kabisa mkuu.

Ni haki yake
 
Hii issue watu wanaichukulia ki juu juu tu lakini ina tuhuma nzito sana,
Magufuli anachafuliwa na watu wake anaowaamini,
 
26/04 Magufuli anapinduliwa kabisa naona,, magufuli hawezi kufika 2020 Hata siku moja,,, mapinduzi huja kama utani
 
You are one of those headless and heartless creatures who exist without purpose on this land.
Only idiots can not see how the boat is rapidly sinking. It takes a zero brain to declare in public their upper stairs' emptiness.

Otherwise, a normal person could not dare to think that people need sponsorship to think and reason critically.

I expected you would seek clarifications from the authority about abduction and killing of innocents, economic crisis, private sector collapse, and many other threats for people's freedom and wellbeing.

Hypocrisy is a last but one step to the grave.
Your so stupid.!
 
Mods. Tadhali Msiunganishe Huu Uzi. It is kot related to anything but a mesage to those two Government's

The US and German governments are being accused of sponsoring dissidents determined to forment chaos in TANZANIA. For the sake of peace in our country, we will love to hear from Chancellor Angela Merkel and President trump respective responces i. Regards to these serious allegations.

Sasa hata facts ndogondogo zinamshinda kujua, ndio tuamini kweli hiyo taarifa yake ya "watu hatari"?? Ujerumani hamna chama kinachoitwa CDP, bali kipo CDU (Christian Democratic Union). Pia anadai FBI (Federal Bureau of Investigation) ni shirika la kijasusi la Marekani...bila shaka alitakiwa kusema CIA (Central Intelligence Agency) ambalo ndio shirika la kijasusi la Marekani.

Huyu hajui anachosema, na ni wa kumpuuza tu.
 
Wanapoteza muda tu hao vibaraka wa wazungu. Huku mitaani wananchi wanawachukulia ni kama watu waliorukwa na akili.
Labda wewe tu. Hata familia yako haikubaliani na wewe
 
Mnakuwa na hofu za kishamba juu ya Marekani kushutumiwa kwa nini? Iv wao walipowaiteni shithole countries walifanya vizuri? Aagh huu ni ukoloni kabisa vichwani mwetu na uoooga wa kishamba. Kwanza jamaa kasema hata wamdungue sawa tu. Sisi tunaumia nini?

Hooou atahojiwa kuthibitisha, so whaaat? Shithole.

Hivyohivyo na wao wanaweza kushutumiwa.

Tz is a free and independent sovereign state.
 
Back
Top Bottom