US Ambassador to Tanzania's Statement on the Attack on Absalom Kibanda

US Ambassador to Tanzania's Statement on the Attack on Absalom Kibanda

A free, independent media is fundamental to any democracy. The work of journalists is essential to educate the public and to encourage the free flow of ideas in society. Therefore attacks against media professionals threaten the very foundation of democracy.
Does he know the motive for his attacker?. Prejudging the incidence makes investigation even harder.

No one know why Mr Absalom Kibanda was attacked.
 
Kwa January Makamba kulivunjwa na vibaka, just the second day wote walikuwa wamekamatwa. Ndiyo maana nasema hii ya kuleta FBI na kuwalipa mihela kibao ni uhuni tu. Uwezo wa kufanya upelelezi watanzania tunao mkubwa sana, tatizo ni kwamba wafanyaji wa haya yote ni serikali yenyewe. Itampeleleza nani?

Umemaliza ,wala huitaji phd hapo kujua ukweli
 
Hivi ni kweli kwamba watanzania tumeshindwa kabisa kufanya shughuli za kiupelelezi hadi tuhitaji FBI kwa kila jambo? Watanzania wenzangu, kuna nini kinaendelea nchi hii? Kama hatuna uwezo wa kufanya shughuli za kiupelelezi kwa matukio kama haya tunaweza nini tena? Ndiyo maana kesi za EPA hadi leo hazijaisha tunaambiwa upelelezi haujakamilika. Ni nani anawajibika kwa hili? Rais hajaona dosari katika jambo hili?
Hakuna tunachoweza mkuu zaidi ya usanii. Wewe ukuona ile ishu ya Ulimboka jamaa wakatuletea kichaa?

hh
 
Kwa January Makamba kulivunjwa na vibaka, just the second day wote walikuwa wamekamatwa. Ndiyo maana nasema hii ya kuleta FBI na kuwalipa mihela kibao ni uhuni tu. Uwezo wa kufanya upelelezi watanzania tunao mkubwa sana, tatizo ni kwamba wafanyaji wa haya yote ni serikali yenyewe. Itampeleleza nani?
Kwa January Makamba kama walikamatwa basi kweli ni vibaka.Kwa Kibanda ni vibaka?Walimwibia vitu gani?
Ni kweli uwezo wa kufanya upelelezi tunao,lakini kujipeleleza hakupo.
 
Does he know the motive for his attacker?. Prejudging the incidence makes investigation even harder.

No one know why Mr Absalom Kibanda was attacked.

Anaweza kukwambia kwamba anawakilisha kwa mujibu wa Kamanda Kova.

Mimi tatizo langu kubwa ni mmomonyoko wa maadili ya kidiplomasia, even as I realize the gravity of the content, the delivery is rash.
 
Kwa January Makamba kama walikamatwa basi kweli ni vibaka.Kwa Kibanda ni vibaka?Walimwibia vitu gani?
Ni kweli uwezo wa kufanya upelelezi tunao,lakini kujipeleleza hakupo.
Hicho ndicho ambacho na mimi namaanisha. Kwamba wakiwa ni wezi au majambazi wa ukweli ambao polisi hawana mkono wanakamatwa ndani ya siku mbili. Lakini wakiwa ni majambazi-polisi au vibaka wenye ushirikiano na polisi basi mwaka mzima watakwambia wanapeleleza na hakuna anayekamatwa. Hapa panahitaji akili ndogo tu ya mkuu wa nchi kuwaelewa polisi wake ni watu wa namna gani? Kwanini hayaoni haya? Nachukia sana kuwa na kiongozi mgumu kufanya maamuzi kama huyu.
 
Anaweza kukwambia kwamba anawakilisha kwa mujibu wa Kamanda Kova.

Mimi tatizo langu kubwa ni mmomonyoko wa maadili ya kidiplomasia, even as I realize the gravity of the content, the delivery is rash.
Yeah, He's acting like 'big brother' episode.

Nchi inapokuwa na balozi zinazo comment kila kitu kinachotokea nchini hata kabla ya chunguzi kufanywa ni dalili ya kuondoka katika misingi ya diplomasia na kujipa jikumu la kuwa mwangalizi wa shughuri zote nchini. Kwa maana nyingine, ni kudharau mamlaka za nchi na wananchi wake.

Kuna matukio mengi na mengine ya ajabu yanatokea UK, lakini huwezi kukuta balozi wa USA nchini UK anatoka press release. Why?. Kwa sababu unajua na kusimamia misingi ya mahusiano vile vile anafahamu vizuri madhara ya reckless comment.

Hili ndiyo tunda la umaskini wetu
 
Hii ni kauli iliyotakiwa kutolewa na Civil Societies za Tanzania.

Wanaotakiwa kusema hawasemi ipaswavyo, wasiotakiwa kusema wanashikia mabango issue.
 
Hivi ni kweli kwamba watanzania tumeshindwa kabisa kufanya shughuli za kiupelelezi hadi tuhitaji FBI kwa kila jambo? Watanzania wenzangu, kuna nini kinaendelea nchi hii? Kama hatuna uwezo wa kufanya shughuli za kiupelelezi kwa matukio kama haya tunaweza nini tena? Ndiyo maana kesi za EPA hadi leo hazijaisha tunaambiwa upelelezi haujakamilika. Ni nani anawajibika kwa hili? Rais hajaona dosari katika jambo hili?
Watanzania hatujashindwa kufanya uchunguzi ila wafanya uchunguzi ndio wahalifu wenyewe mfano zombe na wenzie.
 
Wataleta FBI bila kuombwa? Polisi yetu inaweza. Mbona ilikamata wauaji wa Barlow?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

hawawezi kujichunguza na kujikamata wenyewe,wanafanya kazi kwa maelekezo ya waliowateua,Dhaifu
 
thamani ya maisha na uhai wa mtanzania ni sawa na inzi kwenye kiganja cha cha mkono serikali dhaifu ikibinya mauti.
 
Kunahabari fulani iliandikwa sana na mtanzania kuhusu ugaidi nchini hasa visiwa fulani kule kanda ya ziwa na na jamaa mmoja wa ccm kutaka kujua nani aliipa habari hii mtanzania nafikiri tuanze na huyu diwani kwa hawa wamarekani kufuatilia hizi tetesi za kuwapo kwa chuo cha kigaidi nchini na uteswaji wa Kibanda!
 
Hili ni la Tanganyika kwa hivyo ni uhalifu. Lingalikuwa ni la Zanzibar lingalikuwa la ugaidi. Sasa leteni FBI na hili wasidie uchunguzi. Au uchunguzi wa hili si muhimu?
 
Vyombo vyetu vya usalama haviwezi kukwepa lawama hizi zinazoelekeza kwao. Wananchi tuna hofu na hatuna imani tena na vyombo hivyo. Kwa mfano, hatujapewa majibu yoyote kuhusu kesi ya Dr. Ulimboka, Mwandishi Daudi Mwangosi, ajali ya gari na sumu ya Dr. Mwakyembe, wizi wa EPA, wanyama walioporwa ndani ya shamba la bibi "Tanzania" na kusafirishwa Qatar, n.k. Majibu aina mbili hutolewa na wasemaji wa vyombo hivyo vya usalama wanapohojiwa: (1) Uchunguzi bado unaendelea, na (2) Kesi bado iko mahakamani, kwa hiyo siwezi kuzungumza lolote kwa sasa kuhusu jambo hilo. Hivi wanadhani Watanzania ni ng'ombe na wala si binadamu wenye akili kama binadamu wengine?

Sasa, maoni yangu, kwa kuwa mchakato wa kuandika katiba mpya unaendelea ni vema tukatumia mwanya huo kufikiria kwa kiina namna ya kuviunda upya vyombo hivyo ili vishabihiane na jina lake "Usalama wa taifa au Usalama wa raia"; la sivyo msemo huo "Usalama wa taifa au raia na mali yake" utakuwa ni istiari (analogy) tu yenye maana usalama wa mafisadi, majambazi, waporaji wa rasilimali za taifa hata kuwanunua viongozi wa dini kwa fedha zao kushiriki katika shughuli za kidini (k.m. harambee).
 
Wangefanya kutuletea FBI kwa hili pia ingesadidia sana!

ndugu yangu wamarekani hawa hawa au wengine/sijawai amini foreigners basi tu
afu polisi tanzania mbona ilishajifia siku nyingi sasa ivi ni genge tu,kazi kukamata ..... tu
ebu niishie apa mana naona kazi zao ni kushidna mitandaoni kukamata watuma meseji

pathetic
 
Wangefanya kutuletea FBI kwa hili pia ingesadidia sana!

Nimeshangazwa na hii statement kukosa kipengele cha msaada wa kuchunguza tukio hili kama walivyosema katika tukio la kuuawa kwa Padri Mushi,au US wanasaidia kuchunguza matukio ambayo huwa yamewekwa -tag-"ugaidi" tu?

Waje bana..wachukue nchi yao.
 
Hivi ni kweli kwamba watanzania tumeshindwa kabisa kufanya shughuli za kiupelelezi hadi tuhitaji FBI kwa kila jambo? Watanzania wenzangu, kuna nini kinaendelea nchi hii? Kama hatuna uwezo wa kufanya shughuli za kiupelelezi kwa matukio kama haya tunaweza nini tena? Ndiyo maana kesi za EPA hadi leo hazijaisha tunaambiwa upelelezi haujakamilika. Ni nani anawajibika kwa hili? Rais hajaona dosari katika jambo hili?

Mpelelezi wa nchi hii alikuwa Willy Gamba tu basi, wengine wote wafichaji uhalisia wa uhalifu
 
Hapo mnawahitaji lakini linapokuja suala la Kigamboni mnakua wakali, kama mnawahitaji basi mkubali na wao kua wanawahitaji(kupewa kigamboni) Nothing Is For Nothing.
Anaeitaka Kigamboni si Marekani, Marekani alihitaji sehemu tu ya Kigamboni, nayo ni Geza ulole (Iga uone) kwenda mpaka maeneo ya mbuyuni na Pemba mnazi, na walikuwa hawajakamalisha assesment zote kufikia hatua ya kuiweka katika mipango ya kutekelezwa.
Thats why as of today wamebaki na plan yao ya ku buy the whole naigbourhood ya ubalozi wao ulipo and msasani peninsula.
JINI LILILOPO NYUMA YA SEKESEKE LA KIGAMBONI NA LINALOPANGA HIZO PLAN HEWA MUZIONAZO PAMOJA NA KUINUNUA HIYO KIGAMBONI SI MWINGINE BALI NI YULE WA KULE MNAKOWEKA VIPESA VYENU KILA MWEZI ILI VIWASAIDIE UZEENI AU MUACHAPO KAZI.
Huyo ndiye wengi mnadhani ni Mmarekani.
 
Kwa January Makamba kama walikamatwa basi kweli ni vibaka.Kwa Kibanda ni vibaka?Walimwibia vitu gani?
Ni kweli uwezo wa kufanya upelelezi tunao,lakini kujipeleleza hakupo.

ukitaka kujua hayo hebu auliwe rpc mmoja watakamatwa mpaka waliokunywa nae cha siku hiyo marehemu mpaka apatikane..
 
Mpelelezi wa nchi hii alikuwa Willy Gamba tu basi, wengine wote wafichaji uhalisia wa uhalifu
Didi Willy Gamba exist? Mimi nilijua ni story tu za Elvis Musiba, kama zilivyo za Shigongo!
 
Back
Top Bottom