Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
Kwa January Makamba kulivunjwa na vibaka, just the second day wote walikuwa wamekamatwa. Ndiyo maana nasema hii ya kuleta FBI na kuwalipa mihela kibao ni uhuni tu. Uwezo wa kufanya upelelezi watanzania tunao mkubwa sana, tatizo ni kwamba wafanyaji wa haya yote ni serikali yenyewe. Itampeleleza nani?
Unauliza maswali na unajijibu mwenyewe mkuu vipi? Ndo maana tunaomba FBI au hata CIA waje watufanyie upelelezi maana hatuna imani na wakwetu tunajua wanaweza ila wanatumika kulinda maslahi ya watuhumiwa. Tunahitaji uchunguzi huru sasa amani imetoweka nchini