Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Akili za mashoga hizi eti Israel kwa urussi ....wakati uwezo wa urussi ni wakuweza kuichapa USA na kuipoteza katika ramani ya dunia
 
Russia ni global superpower mzee, ni washindi WW2 European theatre ni sawa walisaidiana na allies lakini wangeweza kushinda peke yao., US ni washindi WW2 pacific theatre, huwezi sema wamefulia, Russia sio Libya.
wangeshinda vp ilihali wahuni walikuw wanakaribia moscow , mshukuru Marekan leo mngekuwa mnasoma hadhith mpya
 
Putin analazimisha kuwa relevant! Anachukia anapoona dunia imempuuza na inazidi kumpuuza kadri siku zinavyokwenda. Hata China imeshampuuza
 
😂😂😂
Dunia ipi inampuuza Putin!?
Mbona kama umeongea kinyume!
Sio kwamba USA na mashoga zake ndio wanaendelea kupoteza ushawishi kila kukicha!?
Sawa mzee; nadhani wewe ni mmoja wa makamanda wa special military operation.

Naona agenda yako kubwa hapa ni kwa mashoga tu, kuonyesha upeo mfupi ulio nao akilini mwako.
 
Sawa mzee; nadhani wewe ni mmoja wa makamanda wa special military operation.

Naona agenda yako kubwa hapa ni kwa mashoga tu, kuonyesha upeo mfupi ulio nao akilini mwako.
Mashoga nimemaanisha marafiki mkongwe, mimi sio shabiki wa mazungumzo yanayohusu ushoga unaouwaza wewe!
Bila shaka hapa wewe ndio umeonesha kuwa na upeo mfupi.
 
Huyu maniac hana tofauti na hawa wajukuu wa mudi wa kwamtoro
Na anapenda kucheza na akili zao
 
Ndugu yangu usimuamini Putin kiasi hicho , Putin anajua vizuri kuna mstari hawezi kuvuka, kama ni mwanaume apeleke jeshi na silaha pale Gaza uone moto wa Israel, kama Rusia ataweza kurusha ndege hata moja yenye silaha na jeshi nitakupa laki moja.
Mh embu punguza ushabiki huyu israel aliyepigwa na hezbollah na anahangaika kuokoa mateka hadi leo ndio apigane na urusi hivi hizo shule mnazoenda mnaendaga kuimba au?
 
Putin ana msimamo, Kiburi na Roho ngumu sana sijawahi kuona kwa Marais wa sasa wa Dunia hii...Duuh na bado anashinda kwa kura karibu zote nchini kwake

Nafikiri nchi karibu zote za Ulaya wanatamani V. Putin afe

Ni kama walivyofanya juu chini kufa kwa Ghadafi na Sadam Hussein wa Iraq....ila naona kwa huyu inawawia vigumu

Putin ana 70's sasa sijui kama atakayekuja atakuwa kama yeye au ataingia katika mifumo ya NATO
Sasa Putin aliwekwa madarakani na Ibramovic aliyekuwa mmiliki wa chersea.
 
Back
Top Bottom