Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 11,194
- 23,626
Wewe hufai kujibiwa swali lako. Ni mtu wa mihemko ndio maana hujaelewa hoja yangu na upande hoja inayosapoti ila umehemuka kushambulia.Nimeona akili za kifala ila hii imepitiliza. Yaani umvamie mtu kwake ukampe na masharti? Hii obsession yenu kwa putin inawafanya muonekana watoto sana. Kwaio unakubali kwamba tuendelee na vita kisa mungu mtu wenu mshamba putin na timu yake wamesema. Pathetic