Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

Hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha vita vya nuclear na nchi inayoongoza kwa wingi na ukubwa wa nuclear.
Russia atapiga nuke ukraine akiamua na yoyote atakayejaribu kumjibu russia basi huo ndio utakuwa mwisho wake na wa dunia kiujumla.

Marekani wanalijua hili ndio maana hawawezi kutia mguu direct Ukraine.
Apige anasubiri nin
 
russia keshagundua janjajanja ya zelensky, alichofanya jana kaamua kufumua reli zote sasahivi hana usafiri wa maji wala reli nafikiri ataanza kutumia njia ya magendo( vichochoroni) kusafirisha siraha.
C17 Globe trotter zitafanya kazi
 
Hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha vita vya nuclear na nchi inayoongoza kwa wingi na ukubwa wa nuclear.
Russia atapiga nuke ukraine akiamua na yoyote atakayejaribu kumjibu russia basi huo ndio utakuwa mwisho wake na wa dunia kiujumla.

Marekani wanalijua hili ndio maana hawawezi kutia mguu direct Ukraine.
Mrusi wa nkuhungu una mikwara sana, acha kuchukua story za kwenye vijiwe vya kahawa na kuzisambaza kama zilivyo, huyo russia hana huo ubora unajiaminisha kua anao
 
Back
Top Bottom