kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,943
- 17,359
Dunia hasa ya wanyonge itakuwa salama zaidi kama kutakuwa na 1. balance of power duniani, 2. kutakuwa na muundo mpya wa UN 3. kutakuwa na chombo kipya kingine cha fedha (IMF na Word Bank). wakubwa wataacha kuwa polisi wa dunia. Kolabo ya Mrusi, Korea Kas, China, Cuba, Maduro, Iran na Syria inaweza kuifanya dunia iwe na tumaini jipya dhidi ya polisi mmojaKuna yule mkorea mtukutu pia kuna uwezekano kolabo ikawa kali zaid kwani nae alsema yupo tyr kwa loote na anaendlea na majaribo kadha wa kadha licha ya jarbio la hv majuzi kukwama kuna mkakati mkubwa marekan kuingilia pia kwahvo idadi ya maadui inazid kukuwa you wil never know anything might happen soon or later