Urusi wazuiwa kutumia dola

Urusi wazuiwa kutumia dola

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,033
Usiingie mkataba wowote na nchi ya urusi uwe wa kibiashara ,ajira nk wa kulipwa dola utatapeliwa wamezuiwa kutumia dola

Atakulipeje amezuiliwa na kupigwa marufuku kutumia Dola, Euro, Pound na Japanese Yen kwenye vikwazo vya kimataifa alivyowekewa

Kwenye Swift kafungiwa na Benki zake zinapigwa pin. Akaunti zote za dola zimekuwa Frozen.

Kifupi usithubutu kuingia mkataba kuhusu fedha za kigeni za Dola, Euro, Pound au Japanese Yen

Usiseme hukuambiwa.Ukitapeliwa usije kupiga miyowe humu jamii
 
Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
 
Vita zote mrusi alikuwa alivamia nchi za watu na kuteka majimbo yao raia wa kawaida waliendelea tu na maisha yao sababu hawaku feel chochote life iliendelea kama kawaida

Sasa Russia akajiona kidume ukianzisha vita kuteka majimbo nchi za watu hakuna wa kumfokea au kumfanya chochote eneo lolote ndani ya nchi na nje ya nchi akavimba kichwa

Sasa nchi za Magharibi zimeweka vikwazo ambavyo raia wa kawaida ataamka usingizini na kumlaani Putin na kuchukua hatua dhidi yake.Sababu kama hawaguswi na hiyo athari watanwacha tu Putin aendelee kusumbua nchi za watu na kuteka majimbo yao na kuyafanya sehemu ya Urusi Vikwazo kazi yake mojawapo ni kujenga internal resistance ya raia wa kawaida dhidi ya utawala uliopo Madarakani Putin sasa hivi majela yamejaza waandamanaji wanaipinga vita ya Ukraine wanaoumizwa na vikwazo
 
Ile nchi sio muda itakuwa kama Zimbabwe
Aisee!
Hivi unaijua vizuri Urusi?
Kuna nchi ndogo sana kwa Urusi Zina vikwazo toka mama Yako hajazaliwa lakini Zinaambo mazito kuliko nchi kadhaa za ulaya.
Unaijua Cuba?
Unaijua Iran?
Na unaijua Korea Kaskazini?
Hizi ni nchi ndogo sana kwa Urusi.
Sasa Urusi ndo nchi inayoongoza duniani kwa eneo kubwa,
Inaongiza Dunia kwa rasilimali,
Inaongiza Dunia kwa silaha,
Ina viwanda vya kila kitu,
Ina technolojia kubwa sana tu,
Ina wasomi wengi,
Ina wanasayansi wengi TU
Ina Fanya tafiti za Kila aina,
Ndio iliwafundisha akina USA kwenda huko anga za juu kabisa..

Ndi imewakaribisha USA na maswahiba wake kwenye ISS.
Mambo ni mengi mda mchache.
 
Taira kweli wee jamaa kuna jela zilizojaa kama za US Kwa nchi ziliozoendelea izi sanction hazitazidi miaka miwili aslimia 50 ya hizi sanctions zitatolewa na Putin hatoki madarakani wewe bwabwaja apa utasema ata biashara ya viazi unayo
 
Aisee!
Hivi unaijua vizuri Urusi?
Kuna nchi ndogo sana kwa Urusi Zina vikwazo toka mama Yako hajazaliwa lakini Zinaambo mazito kuliko nchi kadhaa za ulaya.
Unaijua Cuba?
Unaijua Iran?
Na unaijua Korea Kaskazini?
Hizi ni nchi ndogo sana kwa Urusi.
Sasa Urusi ndo nchi inayoongoza duniani kwa eneo kubwa,
Inaongiza Dunia kwa rasilimali,
Nchi zote hizo Korea, Iran na Cuba hakuna iliyozuiwa kutumia dola usifananishe ni vikwazo kawekewa urusi.Hao hawana

Raslimali tu hata Congo Afrika nzima anaongoza kwa Raslimali lakini Lofa.Raslimali mbele ya vikwazo vya soko ni kitu gani .Russia inakuwa sawa tu na Kongo

Kusema mrusi ana silaha nyingi silaha zipo hiyo.mogobore inayoitwa vifaru vya kirusi inayobomolewa na kuteketezwa kila siku na Jeshi la Ukraine?
 
Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
nina rafiki yangu mrusi alikuwa mapumzikoni zenji karibu mwaka mzima, kaondoka juzi kwenda kwao... jana nime wasiliana nae amefika salama moscow...

Huyu Rafiki toka Ukraine... na nime wasiliana nae muda sio mrefu

kji.JPG

dre.JPG

Huyu Rafiki aliye sepa juzi kurejea kwao Moscow

Inkedkjhu_LI.jpg

mos.JPG
 
Vita zote mrusi alikuwa alivamia nchi za watu na kuteka majimbo yao raia wa kawaida waliendelea tu na maisha yao sababu hawaku feel chochote life iliendelea kama kawaida

Sasa Russia akajiona kidume ukianzisha vita kuteka majimbo nchi za watu hakuna wa kumfokea au kumfanya chochote eneo lolote ndani ya nchi na nje ya nchi akavimba kichwa

Sasa nchi za Magharibi zimeweka vikwazo ambavyo raia wa kawaida ataamka usingizini na kumlaani Putin na kuchukua hatua dhidi yake.Sababu kama hawaguswi na hiyo athari watanwacha tu Putin aendelee kusumbua nchi za watu na kuteka majimbo yao na kuyafanya sehemu ya Urusi Vikwazo kazi yake mojawapo ni kujenga internal resistance ya raia wa kawaida dhidi ya utawala uliopo Madarakani Putin sasa hivi majela yamejaza waandamanaji wanaipinga vita ya Ukraine wanaoumizwa na vikwazo
na wegine tumepata ufadhiri wa kwenda huko mwaka huu... wana hazina ya dola za kutoshaa...
 
Aisee!
Hivi unaijua vizuri Urusi?
Kuna nchi ndogo sana kwa Urusi Zina vikwazo toka mama Yako hajazaliwa lakini Zinaambo mazito kuliko nchi kadhaa za ulaya.
Unaijua Cuba?
Unaijua Iran?
Na unaijua Korea Kaskazini?
Hizi ni nchi ndogo sana kwa Urusi.
Sasa Urusi ndo nchi inayoongoza duniani kwa eneo kubwa,
Inaongiza Dunia kwa rasilimali,
Inaongiza Dunia kwa silaha,
Ina viwanda vya kila kitu,
Ina technolojia kubwa sana tu,
Ina wasomi wengi,
Ina wanasayansi wengi TU
Ina Fanya tafiti za Kila aina,
Ndio iliwafundisha akina USA kwenda huko anga za juu kabisa..

Ndi imewakaribisha USA na maswahiba wake kwenye ISS.
Mambo ni mengi mda mchache.
wape elimu...
 
Back
Top Bottom