Urusi watengeneza Satan 2

Mkuu mimi sio wa dini hiyo unayo nidhania. Mimi mkristo mkatoliki anaechukiwa hata na wakristo waprotestanti wenye msimamo mkali. Nilitumia neno lile kama kujaribu kuelezea jinsi hao wana jihad wanavyotuita ili wahalalishe ile barbaric behaviour. Ila the truth must be told hata wakristo walianzisha vita kutetea ukristo nao wakauwa watu, and we were barbarian too.
 
Chaffs/decoys ni contigency plan incase imekuwa detected. Lakini hizi kitu haziwezi kuwa detected hadi upate siri ya heat signature yake ambayo hii ndio hasa siri ya urembo ukivujisha ume-breach national security ni treason adhabu yake kifo au kifungo cha maisha.
 
Cha msingi ni hzo F-22 zikatishe kwny range za radar za urusi ili zijithbtishe vzur kuw ni real stealth la sivyo huwez barik kuw hzo ndege ni bora kwa sasa.
 
Mkuu, msaada kidogo hapa!
Unamaanisha hiyo vita ya Usa na Vietnum hawa wamarekani walipigwa? Walishindwa hiyo vita ama?
 
Mkuu, msaada kidogo hapa!
Unamaanisha hiyo vita ya Usa na Vietnum hawa wamarekani walipigwa? Walishindwa hiyo vita ama?
Hawakushidwa ila walikimbia na silaha zao kama helkopta walitupia baharini, ni moja kati ya vita ngumu ambazo wamarekani hawaji kuisahau, na wametumia gharama nyingi kutengeneza movie za kuonyesha kuwa waliwapiga wavetnam ili kutuhadaa lakini wapi...
 
Ahsante mkuu umemjibu vema siongezi hata nukta ktk jibu lako. Umemaliza maneno niliyokusudia kumjibu.
 
Naomba nirudie tena: Nina uhakika 100% hakuna missile wala ndege ambayo ni 100% stealth, Kinachofanyika ni kupunguza radar signature.

Ingekua hizo missile ni 100% stealth bsi zisingehitaji chaffs/decoys/dummies, Hizo zimewekwa kwa kuwa inajulikana kabisaa kuwa huwez kuavoid detection so zinawekwa kulinda missile from anti-balistic

My point: hakuna 100% stealth, Ingekua ivo basi zisingewekwa chaffs/decoys

...........
KAma una ushahid wa 100% stealth nauomba

My source
Stealth aircraft - Wikipedia
 
Cha msingi ni hzo F-22 zikatishe kwny range za radar za urusi ili zijithbtishe vzur kuw ni real stealth la sivyo huwez barik kuw hzo ndege ni bora kwa sasa.
Kumbuka hizo ndio only 5th generation active figheters.

Narudi tena: hakuna missile wala fighter ambayo ni completely stealth, What they do ni kupunguza to the minimum kabisaa ile radar signature,
SO Am sure si F22 wala PAK FA ni 100% stealth.

------+++++++-----
Pitia hap ujue there is no 100% stealth

Stealth aircraft - Wikipedia
 
Nwat i meant z dat, km hzo ndege zinajigamba kuwa haziwez onekana kwny radar/ defence systems kwanin zisikatishe kwenye radar za urusi, au huwa zinakatisha mara kwa mara but hazionekani tu?
 
Nwat i meant z dat, km hzo ndege zinajigamba kuwa haziwez onekana kwny radar/ defence systems kwanin zisikatishe kwenye radar za urusi, au huwa zinakatisha mara kwa mara but hazionekani tu?
Note my point mkuu: si F22 wala PAK FA ni 100% stealth, Hakuna hico hicho kitu duniani
Stealth inamaana ndege inaongezewa features ambazo zinareduce radar singnature also zinatumia sensors za kutosha ili kuidanganya rada, So 100% Stealth kwa ndege inayotoa heat signature ya jet engine, air friction, Sound haipo duniani
 
Mhh..... tango pori
 
Big up sana, unafuatilia. Mpk Leo hakuna ndege ya mrusi inayomfikia f22 raptor kwenye ishu ya stealth na range. Raptor inazaidi ya muongo mmoja tangu itengenezwe.
Tehteh Iyo f22 rapture haina madhara rusia inaishia Ukraine sio bomu wala ndege yenyewe inaweza kuungia rusia......
Rusia imewekeza katika kujilinda/defensive kuliko offenceve kushambulia anway Bt mbinu za kimapigano ndo huleta ushindi wala sio vifaa wala nn
 
Mkuu jifunze kutofautisha aina za fighter,

F22 imekua designed kufanya kazi ya air superiority, so kazi yake ni kuintercept/ ku win air superiority sio bomber wala sio attack aircraft ile, Sasa ifate nn russia?

Andika unavyovijua, Vingine viache tu vikupite
 
Sorry nlujibu kiujumla...
So uo u superiority inafanyia wapi? Kwa mfano..... kuna air defence system Bora zaidi ya za urusi?
 
Sorry nlujibu kiujumla...
So uo u superiority inafanyia wapi? Kwa mfano..... kuna air defence system Bora zaidi ya za urusi?
Nakushauri nenda kwanza kapitie hizi tofauti air superiority, Intercepter, bomber, attacker

ALAf rudi hapa tupige domo tena
 
Nakushauri nenda kwanza kapitie hizi tofauti air superiority, Intercepter, bomber, attacker

ALAf rudi hapa tupige domo tena
Ndo maana nkakwambiaje haina madhara russia labda ije itutishie sie kajamba nan! Wherever na kazyake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…