Urusi na Israel zapiga mabomu Syria

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
24,914
34,865
Huku Israel ikipiga maeneo ya kijeshi yanayoratibiwa na makundi ya Iran, naye Urusi amepiga mabomu kwenye maeneo ya raia na kuua watoto kule Syria.

Syrian state news agency SANA reported Israeli strikes coming from the disputed Golan Heights shortly after midnight Friday, killing three soldiers, wounding seven others and causing material damage.

Jordanian state television later reported that the toll of Syrian soldiers rose to five.

On the other side of the country in the northwestern Idlib countryside, Russian airstrikes killed seven civilians, according to local first responder group the White Helmets. One strike leveled a modest building in an olive grove that was formerly a chicken farm, the White Helmets media office told The Washington Post, killing four children from one family. Another strike killed two men who had approached the scene after the initial attack.

Photos published by the group show a gutted building with rubble and colourful blankets and pillows spilling out. One showed the corpse of a young girl, half her body sticking out from under the rubble, her wrist adorned with gold bracelets. Another was of her bloodied uncle, sitting barefoot and cross-legged, watching the civil defense members carry out their job.

4by94

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
3,660
2,769

usije ambiwa ni propaganda za magharib , ngoja wamalize kuvaa kobaz
 
Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
491
1,750
Nilipo kua Mtoto nilikua nikipigana na mtoto akanizidi nguvu na kunidunda hua ninaangalia wale walio kua wananicheka nikiona ambaye ni mnyonge kati yao. Basi namkamata namimi namdunda kisawa sawa kurudisha dignity yangu.

ndicho anacho fanya Russia pale syria.
 
Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
13,581
15,326
Yani kwamba target ya Russia, ilikua nini hasa mpaka apige residential buildings, hii haihitaji degree kugundua kuna kamba hapa.
Pale pana waasi ambao wanafadhiliwa na Marekani na Russia ataka kuharibu uwezo wa waasi hao (waitwa White Helmets) kujikusanya kwa silaha ili kufanya mashambulizi ambayo yanaweza kusababisha kutokee yale yalotokea kule Libya.

Kama wafuatilia juzijuzi Russia kazuia UN kupitisha malori ya mizigo yasiingie kwenye hiyo sehemu kwa kuwa na taarifa kwamba kwenye malori hayo kuna silaha pamoja na misaada ya chakula inodaiwa ni kwa ajili ya kambi ya wakimbizi ambayo ndipo walipo waasi hao sehemu ya Idlib.

Hizo silaha ni kwa ajili ya kupewa hao waasi.

Bado malengo ya Marekani na kuona raisi Assad anaondoka yapo mezani lakini Russia anasema "that can't happen".

Ndio maana Russia hadi leo yupo Damascus na sehemu zingine kama kule Caracas nchini Venezuela wakimlinda bwana Maduro.

Na ndo maana juzi Putin akaamua kutia timu mjini Tehran mwenyewe kusawazisha mambo.
 
wangatala

JF-Expert Member
Apr 4, 2022
582
1,270

Nfunue mambo gani hayo?
 
joder

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,163
5,641
Yani kwamba target ya Russia, ilikua nini hasa mpaka apige residential buildings, hii haihitaji degree kugundua kuna kamba hapa.
Huku Israel ikipiga maeneo ya kijeshi yanayoratibiwa na makundi ya Iran, naye Urusi amepiga mabomu kwenye maeneo ya raia na kuua watoto kule Syria.

Syrian state news agency SANA reported Israeli strikes coming from the disputed Golan Heights shortly after midnight Friday, killing three soldiers, wounding seven others and causing material damage.

Jordanian state television later reported that the toll of Syrian soldiers rose to five.

On the other side of the country in the northwestern Idlib countryside, Russian airstrikes killed seven civilians, according to local first responder group the White Helmets. One strike leveled a modest building in an olive grove that was formerly a chicken farm, the White Helmets media office told The Washington Post, killing four children from one family. Another strike killed two men who had approached the scene after the initial attack.

Photos published by the group show a gutted building with rubble and colourful blankets and pillows spilling out. One showed the corpse of a young girl, half her body sticking out from under the rubble, her wrist adorned with gold bracelets. Another was of her bloodied uncle, sitting barefoot and cross-legged, watching the civil defense members carry out their job.

Tunaaminishwa na proPutin kwamba Mrusi anajali waislamu sasa leo ilikuwaje anauwa watoto Syria?? huyu Putin kiafiri aliyekubuhu
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
24,914
34,865
Tunaaminishwa na proPutin kwamba Mrusi anajali waislamu sasa leo ilikuwaje anauwa watoto Syria?? huyu Putin kiafiri aliyekubuhu

Wao humu JF wanamuabudu kabisa, huwa wamechanganyikiwa hawa watu, huabudu yeyote wanayedhani anakomoa Marekani. Huyo Putin aliwaua sana kule Chechnya....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom