Urusi kuweka defence missile nchini Syria

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
203
Kumekucha tena,Urusi inasema itapiga marufuku anga ya Syria kutumika kwa taifa lolote mpaka waiombe ruhusa Urusi,
Naona ile vita ya tatu imekaribia sana
 
kwani wao na hao wasyiria hawatahitaji anga za nchi zingine kwa shughuli zao?
 
Sasa naanza kuichukia Amerika!
Kuna mchezo marekani anaucheza!
Nahisi hata ile ndege iliyodunguliwa marekani anahusika!!
 
Putin hajawahi kuishiwa vituko ilimladi aendelee kuandikwa kwenye vyombo vya habari nasijui angekuwa mtoto wa kike ingekuwaje.
 
hilo katazo la kutumia anga la Syria mlengwa ni Marekani na washirika wake...!!
 
Sasa naanza kuichukia Amerika!
Kuna mchezo marekani anaucheza!
Nahisi hata ile ndege iliyodunguliwa marekani anahusika!!
Mkuu kumbuka ndege za vita za Merikani na Uingereza zipo kwenye airbases za nchini Uturuki,mimi mpaka hivi sasa na amini kwamba marubani wa Uingereza au Merikani ndio walihusika kuangusha ndege ya Warusi.
 
Ilikuwa rahisi kuiangusha Sukhoi SU-24 kwa sababu ni bomber sio fighter aircraft, hivyo sio agile. Kwa nini MIG-29 tu zilivuka mpaka na hazikuguswa? hapo bado kuna MIG-31 na SU-34 ambazo ni advanced Fighter aircraft na manake ukiikosa inakuondoa. Pili ni mashambulizi ya Russia kwa jamii ya Turkmen iliyopo Syria ambayo inapata msaada wa Uturuki na waasi wengine. Tatu, kuna ndege ya kivita ya Uturuki, F-16 iliangushwa Syria mwaka jana na kombora la Mrusi, kwa hiyo hii ni kama kisasi. Kwa uturuki ndio ataumia zaidi sababu Warusi ndio watalii wengi zaidi wanaoenda uturuki, ana biashara nyingi na Russia ambazo zimesimamishwa, hatari imeongezeka kwa ndege za kivita za washirika baada ya Russia kuweka Naval Destroyer Bahari ya Mediterannia kulinda anga la Syria. Na Russians are trigger happy. Tusubiri tuone.
 
Nawahurumia wale Turkmen manake watacharazwa na makombora bila huruma. Na wanaouumia ni wanawake, wazee na watoto. Things are going from bad to worse.
 
mimi nawahurumia wasirya kwa kukuruhusu nchi yao kuwa uwanja wa majaribio ya silaha,makombora ya Urusi yataangamizea
 
Ilikuwa rahisi kuiangusha Sukhoi SU-24 kwa sababu ni bomber sio fighter aircraft, hivyo sio agile. Kwa nini MIG-29 tu zilivuka mpaka na hazikuguswa? hapo bado kuna MIG-31 na SU-34 ambazo ni advanced Fighter aircraft na manake ukiikosa inakuondoa. Pili ni mashambulizi ya Russia kwa jamii ya Turkmen iliyopo Syria ambayo inapata msaada wa Uturuki na waasi wengine. Tatu, kuna ndege ya kivita ya Uturuki, F-16 iliangushwa Syria mwaka jana na kombora la Mrusi, kwa hiyo hii ni kama kisasi. Kwa uturuki ndio ataumia zaidi sababu Warusi ndio watalii wengi zaidi wanaoenda uturuki, ana biashara nyingi na Russia ambazo zimesimamishwa, hatari imeongezeka kwa ndege za kivita za washirika baada ya Russia kuweka Naval Destroyer Bahari ya Mediterannia kulinda anga la Syria. Na Russians are trigger happy. Tusubiri tuone.

States ataendelea kuruka kama anavyotaka ndani ya Syria na hakuna chochote Russia atafanya
 
Mkuu kumbuka ndege za vita za Merikani na Uingereza zipo kwenye airbases za nchini Uturuki,mimi mpaka hivi sasa na amini kwamba marubani wa Uingereza au Merikani ndio walihusika kuangusha ndege ya Warusi.

Kama unaamini hivyo basi kamwaminishe na Putin wako halafu tuone kama ana ubavu wa kufanya lolote la maana zaidi ya kupeleka mifugo yake kwenye ubalozi wa Uturuki uliopo Moscow na kuwaamuru waurushie nyanya na mayai.
 
Ilikuwa rahisi kuiangusha Sukhoi SU-24 kwa sababu ni bomber sio fighter aircraft, hivyo sio agile. Kwa nini MIG-29 tu zilivuka mpaka na hazikuguswa? hapo bado kuna MIG-31 na SU-34 ambazo ni advanced Fighter aircraft na manake ukiikosa inakuondoa. Pili ni mashambulizi ya Russia kwa jamii ya Turkmen iliyopo Syria ambayo inapata msaada wa Uturuki na waasi wengine. Tatu, kuna ndege ya kivita ya Uturuki, F-16 iliangushwa Syria mwaka jana na kombora la Mrusi, kwa hiyo hii ni kama kisasi. Kwa uturuki ndio ataumia zaidi sababu Warusi ndio watalii wengi zaidi wanaoenda uturuki, ana biashara nyingi na Russia ambazo zimesimamishwa, hatari imeongezeka kwa ndege za kivita za washirika baada ya Russia kuweka Naval Destroyer Bahari ya Mediterannia kulinda anga la Syria. Na Russians are trigger happy. Tusubiri tuone.

kwani US ana ndege moja tu ya F-16?. ANAZONYINGI MNO NA ZINGINE HAZIONEKANI HATA KWENYE AIR DEFENCE SYSTEM. HUYO RUSIA AMEINGIA KICHWA KICHWA HAPO, ALITEGWA SASA AMEINGIA.
 
su-24 ni ground attack plane sio multrole au fighter ;kwamaana haiwezi air to air combart,ndo maana ilikua rahisi sana kuipiga
 
Back
Top Bottom