Kuna watu humu wana mahabaputin yaliyopitiliza,madege ya Marekani,Ufaransa na Uingereza yataendelea kuingia Syria tena kwa kutumia mpaka huo huo wa Uturuki kama yanaenda bafuni vile na huyo Putin hatafanya Kitu.
Sio mahaba.....la.....kisa ni kwamba...ulimwengu (the peace loving reasonable non-aggressive non resource thieving nations)umeichoka tabia hii chafu ya VITA,VIFO,UCHOCHEZI,WIZI WA MALI YA MATAIFA DHAIFU/MASIKINI PAMOJA NA UGAIDI.
Wengi wametamani sana usalama uwepo ili masikini watoto wa SYRIA,LYBIA,IRAQ,AFGHANISTAN,SOMLIA,SUDAN KUSINI etc etc wanaozama baharini,wanaokufa kila kukicha kisa machafuko,vita yanayochochewa na mataifa wababe kwa ajili ya manufaa yao wenyewe.
Yeyote atakayejitokeza kumaliza migogoro hata kama maslahi yake yanahusika kiaina ndiye anayetafutwa na masikini raia wa mataifa yanayokumbwa na migogoro.
Ni mda mrefu sasa tangu huu mgogoro uanze na mmarekani na wafuasi wake WAMESHINDWA KUONESHA NJIA YA AMANI....wameweza tu kuongeza mahangaiko,mateso na uchungu....basi ni bora hata huyo mrusi awaondoe wapiganaji wooooooooooooooote angalau hata serikali ile ya awali ingawa ya kiimla kiaina iweze kuleta afueni ili wasyria wabakie Syria.......baadae wamshurutishe kuitisha uchaguzi itakayo pelekea serikali ya MSETO.
KILA MTU LAZIMA APATE CHAKE........ASSAD PAMOJA NA WALE WAASI WA SYRIA WOTE WAWE SERIKALINI NI HAKI YA KILA MMOJA.
TABIA ZA KIIMLA ZA KUWAUA VIONGOZI AU WALE TUSIYOWAPENDA KWA VIGEZO VYA AJABU AJABU LAZIMA VIKOME (US,EU,Saudis,Qatara,NATO,ISIS)
Umoja wa mataifa imeshindwa kuwalinda wote(wasio na nguvu na wenye nguvu) na kupelekea mbabe kufanya vyake apendavyo bila aibu,huruma wala kuajibishwa.
Tumeona LIBYA,IRAQ,AFGHANISTAN na kadhalika matokeo ya maamuzi ya kiburi uliopitiliza.
WE ARE TIRED LET EVERYBODY GET OUT OF SYRIA.!!!....SYRIA IS A SOVEREIGN NATION!..SYRIA IACHIWE WASYRIA.
The authorities that were last elected should call for help from whom they please and the UN should facilitate election.
WENGINE WOTE NI MAGAIDA,WEZI,WAUAJI NA WAHUNI.