Urusi kuweka defence missile nchini Syria

Urusi kuweka defence missile nchini Syria

Ilikuwa rahisi kuiangusha Sukhoi SU-24 kwa sababu ni bomber sio fighter aircraft, hivyo sio agile. Kwa nini MIG-29 tu zilivuka mpaka na hazikuguswa? hapo bado kuna MIG-31 na SU-34 ambazo ni advanced Fighter aircraft na manake ukiikosa inakuondoa. Pili ni mashambulizi ya Russia kwa jamii ya Turkmen iliyopo Syria ambayo inapata msaada wa Uturuki na waasi wengine. Tatu, kuna ndege ya kivita ya Uturuki, F-16 iliangushwa Syria mwaka jana na kombora la Mrusi, kwa hiyo hii ni kama kisasi. Kwa uturuki ndio ataumia zaidi sababu Warusi ndio watalii wengi zaidi wanaoenda uturuki, ana biashara nyingi na Russia ambazo zimesimamishwa, hatari imeongezeka kwa ndege za kivita za washirika baada ya Russia kuweka Naval Destroyer Bahari ya Mediterannia kulinda anga la Syria. Na Russians are trigger happy. Tusubiri tuone.

kwani US ana ndege moja tu ya F-16?. ANAZONYINGI MNO NA ZINGINE HAZIONEKANI HATA KWENYE AIR DEFENCE SYSTEM. HUYO RUSIA AMEINGIA KICHWA KICHWA HAPO, ALITEGWA SASA AMEINGIA.

S 400 is the best defence system in the world.
 
Mheshimiwa hii kitu ni habari nyingine kabisa wamarekani na mataifa ya ulaya wanajua siku Russia akipeleka S-500 hakuna ndege itakatiza Syria.

S-500 ni mtambo mpya wa kutungulia ndege surface to air missile system hii ni upgade ya S-300 na S-400.S-500 inauwezo wa kutungua makombora ya masafa marefu (intercontinental balistic missile) unaposema hayo ni mapambo tu nakushangaa labda unaongea jambo usilolijua.

Unafikiri wenzako wamelala? dawa ya S 500 ipo tena bei rahisi sana
 
Putin hajawahi kuishiwa vituko ilimladi aendelee kuandikwa kwenye vyombo vya habari nasijui angekuwa mtoto wa kike ingekuwaje.

Mkuu tambua kuwa Urusi si taifa la mchezo, na Putin ni rais imara pengine kuliko marais wote wa urusi waliopita,urusi ina nguvu kubwa sana za kijeshi ila haina uchumi imara wa kustahimili vita kwa muda mrefu, na utambue kuwa vita kati ya urusi na NATO itakuwa vita ya dunia.
watu wengi humu wanachangia utoto tu, Urusi haiwezi kupigwa na NATO, itakuwa ni vita ya nyuklia na dunia italia sana, na warusi wana makombora hatari ya nyuklia kuliko mataifa yote ulaya, usiombe hiyo vita ikatokea, itakuwa vita mbaya ktk history ya dunia, China, North Korea, Cuba, na magaidi yote duniani watakuwa nyuma ya Russia, putin si muoga ila anajua athari za vita.
vita hiyo ikatokea hapatakuwa na mshindi, the world shall split.
 
Mheshimiwa hii kitu ni habari nyingine kabisa wamarekani na mataifa ya ulaya wanajua siku Russia akipeleka S-500 hakuna ndege itakatiza Syria.

S-500 ni mtambo mpya wa kutungulia ndege surface to air missile system hii ni upgade ya S-300 na S-400.S-500 inauwezo wa kutungua makombora ya masafa marefu (intercontinental balistic missile) unaposema hayo ni mapambo tu nakushangaa labda unaongea jambo usilolijua.

Mkuu S-500 sio upgrade ya S-400 wala S-300, S- 500 Iko independet na haijatengenezwa kutoka kwa hizo, only S-400 ndo upgrade ya S-300.
 
Mkuu tambua kuwa Urusi si taifa la mchezo, na Putin ni rais imara pengine kuliko marais wote wa urusi waliopita,urusi ina nguvu kubwa sana za kijeshi ila haina uchumi imara wa kustahimili vita kwa muda mrefu, na utambue kuwa vita kati ya urusi na NATO itakuwa vita ya dunia.
watu wengi humu wanachangia utoto tu, Urusi haiwezi kupigwa na NATO, itakuwa ni vita ya nyuklia na dunia italia sana, na warusi wana makombora hatari ya nyuklia kuliko mataifa yote ulaya, usiombe hiyo vita ikatokea, itakuwa vita mbaya ktk history ya dunia, China, North Korea, Cuba, na magaidi yote duniani watakuwa nyuma ya Russia, putin si muoga ila anajua athari za vita.
vita hiyo ikatokea hapatakuwa na mshindi, the world shall split.

Athari ya vita inayokuja ni mbaya kuwahi kutokea duniani.

Umeongea uhalisia.

I like that.
 
Kuna watu wa ulaya sasa hivi wanaogopa kusafiri na turkish airline. Hawaamini mrusi atakaa
kimya tu wanadhani kunauwezekano jamaa wanaweza ishusha ndege moja ya uturuki.
 
Endeleni kushabikia putin, ila ugumu wa kuingua vitani na memba wa NATO anaujua... ila kwa kuwa syria ni uwanja wa majaribio ya silaha tutaona NATO watakuja na njia gani ya kudeal na s 300 ila so far Ziweza kupigwa na F 22, F35 na other stealth aircraft pamoja na various cruise missiles
dogo F22 na F35 hazipiti kwenye S 400 ndio unaoa mfadhili wa ISIS John McCain anapiga sana kelele US wapeleke ground force na hapa ndipo Iran,Hazbullah na Syria wanataka ili wamtie adabu US.
 
Back
Top Bottom