agathe jean claudia
Member
- Dec 29, 2015
- 18
- 41
Hi guys
I hope all of u r k
Wamarekani walipomchagua obama walifanya uamuzi wa hasira kutokana na kuchoshwa na vita vya iraq na Afghanistan, hata hivyo kuna baadhi walitoa angalizo kuwa obama hana uzoefu wa uongozi hasa foreign policy
sasa majibu yamepatikana kuwa ni kweli hakua na uzoefu, na hasimamii anachokiamini, kitendo cha Russia na china kuanza kujitutumua ni matokeo ya udhaifu wa obama, wengi tulikuwepo na tuliona rais putin alivyomuogopa George bush, ungelitaja jina la putin wakati wa mihula yote miwili ya bush ni wachache sana walilifahamu jina hilo,
Viongozi wa nchi za kiarabu pia walimuogopa sana bush, alikua na msimamo, bush alitangaza wazi kuwa kuna kambi mbili tu ya adui na ya kwetu, kila nchi duniani ichague kambi moja, hata wasiopenda kama Russia na china walilazimika kusema wapo na marekani
Leo hali ni tofauti kwa obama,
Mwaka 2013 Syria ilidaiwa kutumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake, utawala wa obama ukaonesha nia ya kuiadhibu Syria kijeshi, meli za kijeshi zikapelekwa pwani ya syria, pamoja na military assets mbalimbali, kwa ajili ya kuipiga Syria, lengo lilikua ni kufanya mashambulizi ya anga tu kuzilenga kambi na shabaha za kijeshi za serikali, majeshi ya serikali yakisambaratishwa then waasi waweze ku advance haraka na kuchukua Damascus kama ilivyofanyika kwa libya
Russia baada ya kuona mshirika wake Syria anaenda kupigwa ndani ya masaa machache, Sergei lavrov akamrubuni john Kerry kuwa Syria ina ombi maalum kwenu kwamba itakusanya silaha zote za kemikali chini ya UN supervision na kuzikabidhi kwetu ili tukaziteketeze ndani ya Russia, in return marekani isitishe zoezi la kuipiga Syria
John Kerry akakubali mtego huo na kusitisha mpango huo, hivi tunavyozungmza habari ya Assad ingekua ilishaisha since 2013
2015 September baada ya kuona obama hana msimamo maalum kuhusu Syria na haeleweki na kwamba hatafanya chochote kwa jinsi wanavyomjua, Russia ikaingilia vita hiyo upande wa Assad, kwa madai ya kushambulia Isis, hata hivyo kuna taarifa hata moderate western backed rebels oftenly comes under Russian fire
Obama alipaswa kufanya nn?
2013 obama alipaswa kuendelea na azma ya kuipiga Syria, hakupaswa kusikiliza ushauri/hadaa za Russia, naita hadaa maana Putin amefanya kinyume na ushauri alioutoa yy mwenyewe 2013 kuwa watu wa nje hatupaswi kuingilia mambo ya syria
Pili, kwa kuwa mambo yameshafikia hapa, obama alipaswa kuionya Russia na kusisitiza haivuki mipaka katika mashambulizi yake, lengo la mashambulizi ya Russia libaki kuwa ni Isis na sio moderate rebels, Obama aweke wazi kwa Russia kuwa kama waasi watashambuliwa na Russia basi na marekani itashambulia wanajeshi wanajeshi wa Syria ardhini, ili asiwepo mwenye upper hand wakati wa mazungumzo ya mwisho january 21
Marekani amezingatia utaratibu huu kwa mwaka mzima, amekua aki bomb Isis tu, Russia pia alipaswa kufanya hivyo pia, kushambulia Isis tu, cha ajabu, juzi wanajeshi wa govt wameukomboa mji wa Aleppo huku wakisindikizwa na mashambulizi yya anga ya Russia dhidi ya moderate rebels,
Hii maana yake nn?
Russia inapima maji kwa kushambulia moderate rebels kuona obama atafanya kitu gani, akikaa kimya waendelee hivyo hadi serikali iwewze kukomboa miji yote, na hilo likifanyika basi mazungumzo ya january 21 yatakosa maana
Waasi watakwenda geneva wakiwa hawana territory wanayoshikilia
kama vita hii itaisha kwa mkataba wa amani Geneva itakua ni ushindi kwa wote Russia and america, kama itaishia uwanja wa vita kwa government kushinda ni wazi Russia ataibuka mshindi
Bado obama anayo nafasi kubwa ya kuamua vita hiyo iishe vipi, ni uoga na kukosa msimamo vinavyomgarimu, bado america ni big brother hivyo anayo nafasi kubwa
Ni wazi uchaguzi ujao wa America republicans watashinda, maana wao ndie wanaweza kuiweka marekani sehemu inayostahili duniani (the world police) na wana historia hiyo,
Obama amedhihirisha kuwa ni kiongozi dhaifu

Last edited by a moderator: