Urusi imeutumia vizuri udhaifu wa Obama

Urusi imeutumia vizuri udhaifu wa Obama

Hi guys

I hope all of u r k

Wamarekani walipomchagua obama walifanya uamuzi wa hasira kutokana na kuchoshwa na vita vya iraq na Afghanistan, hata hivyo kuna baadhi walitoa angalizo kuwa obama hana uzoefu wa uongozi hasa foreign policy

sasa majibu yamepatikana kuwa ni kweli hakua na uzoefu, na hasimamii anachokiamini, kitendo cha Russia na china kuanza kujitutumua ni matokeo ya udhaifu wa obama, wengi tulikuwepo na tuliona rais putin alivyomuogopa George bush, ungelitaja jina la putin wakati wa mihula yote miwili ya bush ni wachache sana walilifahamu jina hilo,

Viongozi wa nchi za kiarabu pia walimuogopa sana bush, alikua na msimamo, bush alitangaza wazi kuwa kuna kambi mbili tu ya adui na ya kwetu, kila nchi duniani ichague kambi moja, hata wasiopenda kama Russia na china walilazimika kusema wapo na marekani

Leo hali ni tofauti kwa obama,

Mwaka 2013 Syria ilidaiwa kutumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake, utawala wa obama ukaonesha nia ya kuiadhibu Syria kijeshi, meli za kijeshi zikapelekwa pwani ya syria, pamoja na military assets mbalimbali, kwa ajili ya kuipiga Syria, lengo lilikua ni kufanya mashambulizi ya anga tu kuzilenga kambi na shabaha za kijeshi za serikali, majeshi ya serikali yakisambaratishwa then waasi waweze ku advance haraka na kuchukua Damascus kama ilivyofanyika kwa libya

Russia baada ya kuona mshirika wake Syria anaenda kupigwa ndani ya masaa machache, Sergei lavrov akamrubuni john Kerry kuwa Syria ina ombi maalum kwenu kwamba itakusanya silaha zote za kemikali chini ya UN supervision na kuzikabidhi kwetu ili tukaziteketeze ndani ya Russia, in return marekani isitishe zoezi la kuipiga Syria
John Kerry akakubali mtego huo na kusitisha mpango huo, hivi tunavyozungmza habari ya Assad ingekua ilishaisha since 2013

2015 September baada ya kuona obama hana msimamo maalum kuhusu Syria na haeleweki na kwamba hatafanya chochote kwa jinsi wanavyomjua, Russia ikaingilia vita hiyo upande wa Assad, kwa madai ya kushambulia Isis, hata hivyo kuna taarifa hata moderate western backed rebels oftenly comes under Russian fire

Obama alipaswa kufanya nn?

2013 obama alipaswa kuendelea na azma ya kuipiga Syria, hakupaswa kusikiliza ushauri/hadaa za Russia, naita hadaa maana Putin amefanya kinyume na ushauri alioutoa yy mwenyewe 2013 kuwa watu wa nje hatupaswi kuingilia mambo ya syria

Pili, kwa kuwa mambo yameshafikia hapa, obama alipaswa kuionya Russia na kusisitiza haivuki mipaka katika mashambulizi yake, lengo la mashambulizi ya Russia libaki kuwa ni Isis na sio moderate rebels, Obama aweke wazi kwa Russia kuwa kama waasi watashambuliwa na Russia basi na marekani itashambulia wanajeshi wanajeshi wa Syria ardhini, ili asiwepo mwenye upper hand wakati wa mazungumzo ya mwisho january 21

Marekani amezingatia utaratibu huu kwa mwaka mzima, amekua aki bomb Isis tu, Russia pia alipaswa kufanya hivyo pia, kushambulia Isis tu, cha ajabu, juzi wanajeshi wa govt wameukomboa mji wa Aleppo huku wakisindikizwa na mashambulizi yya anga ya Russia dhidi ya moderate rebels,

Hii maana yake nn?
Russia inapima maji kwa kushambulia moderate rebels kuona obama atafanya kitu gani, akikaa kimya waendelee hivyo hadi serikali iwewze kukomboa miji yote, na hilo likifanyika basi mazungumzo ya january 21 yatakosa maana
Waasi watakwenda geneva wakiwa hawana territory wanayoshikilia

kama vita hii itaisha kwa mkataba wa amani Geneva itakua ni ushindi kwa wote Russia and america, kama itaishia uwanja wa vita kwa government kushinda ni wazi Russia ataibuka mshindi

Bado obama anayo nafasi kubwa ya kuamua vita hiyo iishe vipi, ni uoga na kukosa msimamo vinavyomgarimu, bado america ni big brother hivyo anayo nafasi kubwa

Ni wazi uchaguzi ujao wa America republicans watashinda, maana wao ndie wanaweza kuiweka marekani sehemu inayostahili duniani (the world police) na wana historia hiyo,

Obama amedhihirisha kuwa ni kiongozi dhaifu

Mkuu hii ni russia nyingine baada ya Putin ku inject fund kubwa kwy jesh.vifaa ,mafunzo na budget pia sio nchi maskin had mwaka jana ni nchi ya kumi Kwa utajir dunian.pia russia inataka kufanya biashara ya silaha dunian kwan inauza 10% na marekan50% dunian.
 
Putin hakuogopa wazimu aliokuwa akifanya Bush huko Iraq na Afghan bali naye alikuwa vita Chechyna na aliitaji kuungwa mkono na mataifa makubwa. alitaka vita za Bush zimsaidie kujustfy mambo yake huko chechiniya. kuhusu Libya Putin alidanganywa. alijua allied forces wanacreate no fly zone kuokoa raia kumbe wenzake wamepanga kumuangusha Gaddafi, marekani walipokuja na sababu hizohizo ili waipige Syria akasema fool me once........,na alikuwa tayari kutumia veto. sasa ulitaka Obama aonekane tyranny?.

kusema ukweli mambo anayofanya putin huko Crimea, Syria na east Ukraine ni sawa na mtu anayetaka kujinasua kutoka kwa chatu na si anayepambana na chatu.
 
Hi guys

I hope all of u r k

Wamarekani walipomchagua obama walifanya uamuzi wa hasira kutokana na kuchoshwa na vita vya iraq na Afghanistan, hata hivyo kuna baadhi walitoa angalizo kuwa obama hana uzoefu wa uongozi hasa foreign policy

sasa majibu yamepatikana kuwa ni kweli hakua na uzoefu, na hasimamii anachokiamini, kitendo cha Russia na china kuanza kujitutumua ni matokeo ya udhaifu wa obama, wengi tulikuwepo na tuliona rais putin alivyomuogopa George bush, ungelitaja jina la putin wakati wa mihula yote miwili ya bush ni wachache sana walilifahamu jina hilo,

Viongozi wa nchi za kiarabu pia walimuogopa sana bush, alikua na msimamo, bush alitangaza wazi kuwa kuna kambi mbili tu ya adui na ya kwetu, kila nchi duniani ichague kambi moja, hata wasiopenda kama Russia na china walilazimika kusema wapo na marekani

Leo hali ni tofauti kwa obama,

Mwaka 2013 Syria ilidaiwa kutumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake, utawala wa obama ukaonesha nia ya kuiadhibu Syria kijeshi, meli za kijeshi zikapelekwa pwani ya syria, pamoja na military assets mbalimbali, kwa ajili ya kuipiga Syria, lengo lilikua ni kufanya mashambulizi ya anga tu kuzilenga kambi na shabaha za kijeshi za serikali, majeshi ya serikali yakisambaratishwa then waasi waweze ku advance haraka na kuchukua Damascus kama ilivyofanyika kwa libya

Russia baada ya kuona mshirika wake Syria anaenda kupigwa ndani ya masaa machache, Sergei lavrov akamrubuni john Kerry kuwa Syria ina ombi maalum kwenu kwamba itakusanya silaha zote za kemikali chini ya UN supervision na kuzikabidhi kwetu ili tukaziteketeze ndani ya Russia, in return marekani isitishe zoezi la kuipiga Syria
John Kerry akakubali mtego huo na kusitisha mpango huo, hivi tunavyozungmza habari ya Assad ingekua ilishaisha since 2013

2015 September baada ya kuona obama hana msimamo maalum kuhusu Syria na haeleweki na kwamba hatafanya chochote kwa jinsi wanavyomjua, Russia ikaingilia vita hiyo upande wa Assad, kwa madai ya kushambulia Isis, hata hivyo kuna taarifa hata moderate western backed rebels oftenly comes under Russian fire

Obama alipaswa kufanya nn?

2013 obama alipaswa kuendelea na azma ya kuipiga Syria, hakupaswa kusikiliza ushauri/hadaa za Russia, naita hadaa maana Putin amefanya kinyume na ushauri alioutoa yy mwenyewe 2013 kuwa watu wa nje hatupaswi kuingilia mambo ya syria

Pili, kwa kuwa mambo yameshafikia hapa, obama alipaswa kuionya Russia na kusisitiza haivuki mipaka katika mashambulizi yake, lengo la mashambulizi ya Russia libaki kuwa ni Isis na sio moderate rebels, Obama aweke wazi kwa Russia kuwa kama waasi watashambuliwa na Russia basi na marekani itashambulia wanajeshi wanajeshi wa Syria ardhini, ili asiwepo mwenye upper hand wakati wa mazungumzo ya mwisho january 21

Marekani amezingatia utaratibu huu kwa mwaka mzima, amekua aki bomb Isis tu, Russia pia alipaswa kufanya hivyo pia, kushambulia Isis tu, cha ajabu, juzi wanajeshi wa govt wameukomboa mji wa Aleppo huku wakisindikizwa na mashambulizi yya anga ya Russia dhidi ya moderate rebels,

Hii maana yake nn?
Russia inapima maji kwa kushambulia moderate rebels kuona obama atafanya kitu gani, akikaa kimya waendelee hivyo hadi serikali iwewze kukomboa miji yote, na hilo likifanyika basi mazungumzo ya january 21 yatakosa maana
Waasi watakwenda geneva wakiwa hawana territory wanayoshikilia

kama vita hii itaisha kwa mkataba wa amani Geneva itakua ni ushindi kwa wote Russia and america, kama itaishia uwanja wa vita kwa government kushinda ni wazi Russia ataibuka mshindi

Bado obama anayo nafasi kubwa ya kuamua vita hiyo iishe vipi, ni uoga na kukosa msimamo vinavyomgarimu, bado america ni big brother hivyo anayo nafasi kubwa

Ni wazi uchaguzi ujao wa America republicans watashinda, maana wao ndie wanaweza kuiweka marekani sehemu inayostahili duniani (the world police) na wana historia hiyo,

Obama amedhihirisha kuwa ni kiongozi dhaifu
Mdau mavita yanamaliza.pesa,had leo USA anahangaika Iraq na Afghanstan
 
kweli. jenerali Su tzu alisema. "jenerali mzuri anashinda vita bila kupigana" kama vile US anavyovuruga bei ya mafuta ambayo Urusi anayategemea. pia alisema "hakuna nchi imewahi faidika na vita ya muda mrefu"
 
We angalia Iraq hakujakaa sawa,Afghanstan hakupo sawa,Syria hakupo OK,kote huko mahela yanatumika,
Obama nae anakiona cha moto watu wake wanauana sana kwa sasa,yale malipo pia
 
Huenda mtoa mada ukawa ni mtu unaetamani kuona vita inatokea kwa wenzio hususan mashariki ya kati lkn kwako hupendi hata kusikia hiyo kitu ikitokea lkn kumbuka hata dola ya USA ipo cku itapotea, vita sio ishu kaka.
 
Huyu mdada sijui anaakili gani. inaonekana anapenda machafuko yanayotokea huko.
 
ingawa mada kidogo ni ya kitambo ila ningependa kumjuza mleta mada.kuna kitu kinaitwa geo politics sijui kwa kiswahihili nikiita siasa za kuikanda nrakua sahihi ila Russia inaprotect interest zake maana angewachi marekani kumgo'a madarakani na kuteuliwa anayeegemea marekani mafuta nagesi kutoka mashariki ya kati ingefika kwa urahisi na bei nafuu bila kucontroliwa jinsi ilivyo sasa maana Russia ndio msambazaji mkuu wa bidhaa hiyo uropa.pia marekani wamekiri kua walikosea kuishambulia libya maana wananchi wanataabika sasa hivi kuliko enzi za gadafi
 
Hi guys

I hope all of u r k

Wamarekani walipomchagua obama walifanya uamuzi wa hasira kutokana na kuchoshwa na vita vya iraq na Afghanistan, hata hivyo kuna baadhi walitoa angalizo kuwa obama hana uzoefu wa uongozi hasa foreign policy

sasa majibu yamepatikana kuwa ni kweli hakua na uzoefu, na hasimamii anachokiamini, kitendo cha Russia na china kuanza kujitutumua ni matokeo ya udhaifu wa obama, wengi tulikuwepo na tuliona rais putin alivyomuogopa George bush, ungelitaja jina la putin wakati wa mihula yote miwili ya bush ni wachache sana walilifahamu jina hilo,

Viongozi wa nchi za kiarabu pia walimuogopa sana bush, alikua na msimamo, bush alitangaza wazi kuwa kuna kambi mbili tu ya adui na ya kwetu, kila nchi duniani ichague kambi moja, hata wasiopenda kama Russia na china walilazimika kusema wapo na marekani

Leo hali ni tofauti kwa obama,

Mwaka 2013 Syria ilidaiwa kutumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake, utawala wa obama ukaonesha nia ya kuiadhibu Syria kijeshi, meli za kijeshi zikapelekwa pwani ya syria, pamoja na military assets mbalimbali, kwa ajili ya kuipiga Syria, lengo lilikua ni kufanya mashambulizi ya anga tu kuzilenga kambi na shabaha za kijeshi za serikali, majeshi ya serikali yakisambaratishwa then waasi waweze ku advance haraka na kuchukua Damascus kama ilivyofanyika kwa libya

Russia baada ya kuona mshirika wake Syria anaenda kupigwa ndani ya masaa machache, Sergei lavrov akamrubuni john Kerry kuwa Syria ina ombi maalum kwenu kwamba itakusanya silaha zote za kemikali chini ya UN supervision na kuzikabidhi kwetu ili tukaziteketeze ndani ya Russia, in return marekani isitishe zoezi la kuipiga Syria
John Kerry akakubali mtego huo na kusitisha mpango huo, hivi tunavyozungmza habari ya Assad ingekua ilishaisha since 2013

2015 September baada ya kuona obama hana msimamo maalum kuhusu Syria na haeleweki na kwamba hatafanya chochote kwa jinsi wanavyomjua, Russia ikaingilia vita hiyo upande wa Assad, kwa madai ya kushambulia Isis, hata hivyo kuna taarifa hata moderate western backed rebels oftenly comes under Russian fire

Obama alipaswa kufanya nn?

2013 obama alipaswa kuendelea na azma ya kuipiga Syria, hakupaswa kusikiliza ushauri/hadaa za Russia, naita hadaa maana Putin amefanya kinyume na ushauri alioutoa yy mwenyewe 2013 kuwa watu wa nje hatupaswi kuingilia mambo ya syria

Pili, kwa kuwa mambo yameshafikia hapa, obama alipaswa kuionya Russia na kusisitiza haivuki mipaka katika mashambulizi yake, lengo la mashambulizi ya Russia libaki kuwa ni Isis na sio moderate rebels, Obama aweke wazi kwa Russia kuwa kama waasi watashambuliwa na Russia basi na marekani itashambulia wanajeshi wanajeshi wa Syria ardhini, ili asiwepo mwenye upper hand wakati wa mazungumzo ya mwisho january 21

Marekani amezingatia utaratibu huu kwa mwaka mzima, amekua aki bomb Isis tu, Russia pia alipaswa kufanya hivyo pia, kushambulia Isis tu, cha ajabu, juzi wanajeshi wa govt wameukomboa mji wa Aleppo huku wakisindikizwa na mashambulizi yya anga ya Russia dhidi ya moderate rebels,

Hii maana yake nn?
Russia inapima maji kwa kushambulia moderate rebels kuona obama atafanya kitu gani, akikaa kimya waendelee hivyo hadi serikali iwewze kukomboa miji yote, na hilo likifanyika basi mazungumzo ya january 21 yatakosa maana
Waasi watakwenda geneva wakiwa hawana territory wanayoshikilia

kama vita hii itaisha kwa mkataba wa amani Geneva itakua ni ushindi kwa wote Russia and america, kama itaishia uwanja wa vita kwa government kushinda ni wazi Russia ataibuka mshindi

Bado obama anayo nafasi kubwa ya kuamua vita hiyo iishe vipi, ni uoga na kukosa msimamo vinavyomgarimu, bado america ni big brother hivyo anayo nafasi kubwa

Ni wazi uchaguzi ujao wa America republicans watashinda, maana wao ndie wanaweza kuiweka marekani sehemu inayostahili duniani (the world police) na wana historia hiyo,

Obama amedhihirisha kuwa ni kiongozi dhaifu
ahahhha, unaota ndoto. Bush alikuwa anamuogopa sana Putin na hata hakutaka kubishana naye. Maana mchezo wake anaujua. Putin a bear you can not stop him what he wants to do......
 
angalia vita ya Iran na Iraq, utaweza kujua Mrusi ni mtu wa aina gani? 8 year war marekan anamsapot Iraq, Mrusi yuko upande wa Iran, mpaka marekan wakaamua kumpa Saddam makombora ya sumu, kisha kuishawishi UN kusimamisha vita siku ya Ijumaa kwa ajil ya swala, wakat wa swala Saddam anapiga kombor la sumu watu wanakufa, Iran walifunga siku tatu, baada ya hapo walipoanza kumpiga Saddam akakimbilia kuomba msaada Urusi akapewa, vita ikaanza wamekufa wamarekan wengi sana pale sema huwa hawasemi wao wakifa. Tukio mojawapo nakukumbusha vile helkopta 4 za marekan zilizokusanywa kwa pamoja na kuteketezwa radar saddam alipewa na warusi, tukio la pili alipewa motor na.mrusi akafunga makombora waliyompa ya sumu akapiga israel patroits zikawa zinadaka artificial boam original likazama tel aviv wanawake wa israel wakatoka uchi mtaan nchi haina wanaume hii tel aviv inapiga israel akarud kwa amerika unaona marekan akamfuata mrusi wakakaa chin kuongea sijui mrusi alipewa nn, kama sikosei ni alaska wataalam wanaweza nisaidia ndo Saddam anauawa lkn bila ivyo shughuli ingeendeelea mpaka leo
 
Si kweli mleta yupo sawa kabisa, ngoja Republican iingie ikulu ndo utajua kama Russia ana nguvu.
Naunga mkono,,,,,wajua democratic ni watu wa mahusiano....ngoja wanaume republican waingie ndio tutamsikia ubavu wa putin
 
Hiki nini ulichochangia hapa unakijua kweli???
 
Naunga mkono,,,,,wajua democratic ni watu wa mahusiano....ngoja wanaume republican waingie ndio tutamsikia ubavu wa putin
What will happen is a WWIII wait and see this game, mana mrusi hatakubali na marekani atataka kuendelea kujifanya anajua zaid, na akishindwa mara zote huwa wa kwanza kukimbilia silaha za maangamizi
 
awa jamaa ni noma san kwenye mambo ya kijeshi.we fatilia vietnam war utajua jinsi gani jamaa walivyokuw hatari
 
Naunga mkono,,,,,wajua democratic ni watu wa mahusiano....ngoja wanaume republican waingie ndio tutamsikia ubavu wa putin
Hao republican watafanya nn wataishia kuweka sanction tu kama Obama
 
What will happen is a WWIII wait and see this game, mana mrusi hatakubali na marekani atataka kuendelea kujifanya anajua zaid, na akishindwa mara zote huwa wa kwanza kukimbilia silaha za maangamizi
Hawawezi kupugana kuna mkataba wanao halafu un security council ipo wataishia kwenye vita baridi na sanctions tu kuhusu war sahau ,
 
Hi guys..
Wamarekani walipomchagua obama walifanya uamuzi wa hasira kutokana na kuchoshwa na vita vya iraq na Afghanistan, hata hivyo kuna baadhi walitoa angalizo kuwa obama hana uzoefu wa uongozi hasa foreign policy ......
Obama alipaswa kufanya nn?

2013 obama alipaswa kuendelea na azma ya kuipiga Syria, hakupaswa kusikiliza ushauri/hadaa za Russia, naita hadaa maana Putin amefanya kinyume na ushauri alioutoa yy mwenyewe 2013 kuwa watu wa nje hatupaswi kuingilia mambo ya syria

.....
Hii maana yake nn?
Russia inapima maji kwa kushambulia moderate rebels kuona obama atafanya kitu gani, akikaa kimya waendelee hivyo hadi serikali iwewze kukomboa miji yote, na hilo likifanyika basi mazungumzo ya january 21 yatakosa maana
Waasi watakwenda geneva wakiwa hawana territory wanayoshikilia

kama vita hii itaisha kwa mkataba wa amani Geneva itakua ni ushindi kwa wote Russia and america, kama itaishia uwanja wa vita kwa government kushinda ni wazi Russia ataibuka mshindi

Bado obama anayo nafasi kubwa ya kuamua vita hiyo iishe vipi, ni uoga na kukosa msimamo vinavyomgarimu, bado america ni big brother hivyo anayo nafasi kubwa

Ni wazi uchaguzi ujao wa America republicans watashinda, maana wao ndie wanaweza kuiweka marekani sehemu inayostahili duniani (the world police) na wana historia hiyo,

Obama amedhihirisha kuwa ni kiongozi dhaifu
Kwa nini dada agathe unataka Obama aipige Syria?

Kwa nini unataka regime change huko Syria?

Hivi hujui kinachoendelea Iraq, Afghanistan na Libya baada ya US-NATO "kuzipiga" nchi hizo? Tena kwa visingizio vya uongo kabisa!!?
 
Back
Top Bottom