Uroho wa madaraka unavyomgharimu Kafulila

Mimi mtumishi wa Umma ukinipa Udas au Uras sihangaiki na kitu kingine
Wanasiasa ni watu waroho sana
Rais anipe uone nitakavyotulia kama sipo vile
Mmmakikupa tu utashangaa vishetani vinakukaribia kukushawishi
 
Huyu Mashinji sijawahi kumuelewa tangia akiwa KM Chadema, sijui mbowe alimuokotea wapi maana hata uteuzi wake wengi sana walitilia shaka.
Ogopa sana watu wakina John kisomo walebunakuta ana CV ndefu kasoma degree kama 4, Diploma 3, mara PHd etc hawa wengi wao huwa ni wasaka fursa, mara nyingi hutamani kupata fursa kupitia elimu yao
Na uhamini kwamba mwenye elimu kubwa anaweza kufiti mahali popote
 
Ujue mimi nimejiuliza mpaka nashindwa kuelewa hawa wateule wa Rais huwa wanafikiria nini. Hivi kweli mtu inaacha u RAS unaenda kupata kura 64? Serious kabisa unaenda kuwa mshindi wa nne, RAS...

yani hata kufanya tathmini ndogo umeshindwa? Yupo aliyeacha u DC kaenda kupata kura 12
Hivi unawajua wajumbe wanavyojua kupamba.
 
Ujue mimi nimejiuliza mpaka nashindwa kuelewa hawa wateule wa Rais huwa wanafikiria nini. Hivi kweli mtu inaacha u RAS unaenda kupata kura 64? Serious kabisa unaenda kuwa mshindi wa nne, RAS...

yani hata kufanya tathmini ndogo umeshindwa? Yupo aliyeacha u DC kaenda kupata kura 12
Umenisaidia kushangaa pia

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
 
Habari wana JF,
Kwa awamu nyingi Kigoma imekuwa miongoni mwa Mikoa michache inayozalisha wabunge wengi vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hatimaye kujipatia umaarufu mkubwa nchi nzima.

Baadhi yao huanza kuwa na kiburi Mara wanapojihisi wamefanikiwa zaidi kisiasa na kuanza kuwakejeli waliowafanya wafike hapo walipofika.

Uroho wa madaraka pia imekuwa kikwazo kwa viongozi wengi Vijana, Hutamani kufanikiwa zaidi kisiasa kuliko kufanya kazi walizoagizwa na wananchi Bungeni,Kafulila ni mmoja kati ya vijana walioingia Bungeni (2010-2015) kwa kasi na kupata umaarufu wa haraka kwa umahiri wake wa kufichua maovu mbali mbali katika Serikali hadi kufikia hatua ya kuitwa "tumbili".

Aliwahi kumkashifu ZZK aliyemshika mkono na kufanikiwa kuwa Mbunge wa JMT.

Licha ya kuwa mwanasiasa mzuri Amekuwa kijana mwenye Kiburi kwa viongozi wake na mwenye uroho wa madaraka vilivyompelekea kutimuliwa na Chama chake Cha Awali Cha CHADEMA na kutimkia NCCR-MAGEUZI ambako alipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika ngazi ya ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini na Kushinda, Alihudumu kwa Kipindi Kimoja na hatimaye katika Uchaguzi wa mwaka 2015 akashindwa na Mwana-mama Hasna Mwilima. Alikimbilia mahakani na kushindwa Mara kadhaa.

Akahamia CCM, Mheshimiwa Rais akamteua kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe kutokana na utendaji Kazi wake wa Awali... 2020 akajivua cheo Cha U-RAS na kutia Nia ya kuteuliwa na Chama chake kugombea nafasi ya Ubunge na Akapigwa kipigo Cha mbwa Koko.

MH. Rais aliwaonya wateuliwa wake na kuwakumbusha kuhusu Kisa Cha Mwananzila aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye alipotea Kisiasa kutokana na uroho wa madaraka. Kafulila amepotea tayari, Kafulila tumsahau Kabisa,Kapewa nafasi na mheshimiwa Rais kaona haifai asitarajie miujiza yoyote ya kupata nafasi ya Kuteuliwa na Mh. Rais.
Sitaki kuamini kama Kafulila alishindwa uchaguzi wa 2015 kwenye box la kura,
 
Vipi Makonda naye ni mwananzila?
 
Hivi Bashite kashafika Msibani.!??
Ametimba kinyooooonge
IMG-20200724-WA0027.jpg
 
Aende Iramba kusaidia Kampeni Jesca!
 
Mimi mtumishi wa Umma ukinipa Udas au Uras sihangaiki na kitu kingine
Wanasiasa ni watu waroho sana
Rais anipe uone nitakavyotulia kama sipo vile
Hapa ndipo kwenye tatizo, vijana tutawalaumu bure ! Lkn tatizo ni wamepata wapi malezi!

Hawana msoto wa ajira, wametoka shule Mungu kawaona wamepata madaraka makubwa Dc/Das/Rc nk na wakati mwingine ubunge.

Sasa kupokea ushauri wa kuridhika ni ngumu sana wanaamini katika uwezo na ubinafsi kujiona hakuna kama wao nafasi walizonazo HAWAZISTAHILI ni ndogo sana.

Jiulize kama huutaki U-RC maana yake fikra zako ni Uwaziri Kisha unataka URAIS! kisomo cha sasa kwa vijana kujengwa kimsoto ni ngumu sana .pale anapokuwa anapata kazi za umma zenye hadhi kubwa kuridhika ni vigumu mno.
 
Mimi huliona hili kuwa ni uoga fulani wa kukabiliana na kutatua matatizo ya wananchi moja kwa moja....tutasubiri sana
 
Ujue mimi nimejiuliza mpaka nashindwa kuelewa hawa wateule wa Rais huwa wanafikiria nini. Hivi kweli mtu inaacha u RAS unaenda kupata kura 64? Serious kabisa unaenda kuwa mshindi wa nne, RAS...

yani hata kufanya tathmini ndogo umeshindwa? Yupo aliyeacha u DC kaenda kupata kura 12

Ninani aliacha udc kapata kura 12? Kuna mama mmoja alikuwa dc mahala namtafuta kweli simuoni nataka nijue, nitajie hata initials zake tu ndugu
 
Back
Top Bottom