Uroho wa madaraka unavyomgharimu Kafulila

Mtu ukiwa mwanasiasa wanawaza tu umarufu na sio pesa, unaacha u RC DSM ambapo unaweza tengeneza pesa ndefu ambayo mbunge ataisikia kwa miaka 5, unakimbizana na kijimbo ili upewe huruma ya kuwa waziri
 
Nasema hivi 'TUMBILI NI TUMBILI TU' 'acha arudi msituni tu, yaani kwa akili yake alidhania kuwa kwenye kura za maoni angetoboa?!! Wakati huko kuna wajumbe kindakindaki wamezeekea kwenye chama hata ukatibu tu hakuna!! Leo uje mtu umepata fever ya jiwe, utake kutuzidi!! Sasa kwenye u RAS, alikuwa anakosa nini? Na yule mwingine aliyekuwa DC, dodoma?!!
Kama wakati anapqta URAS hakuwa kafikisha miaka 45 inamaana yuko permanent penshenable hivyo atarudi TAMISEMI apangangiwe kazi nyingine
 
Majamaa wanaacha kazi, wakati kuna vijana toka vyuo hawana kazi mwaka wa tatu, wanaomba hata wapate kazi walipwe laki 7 lkn hamna kitu......ila majamaa wanalipwa 1m+ na bado anaona kazi haifai. Kweli dunia haipo fair.
 
Kama wakati anapqta URAS hakuwa kafikisha miaka 45 inamaana yuko permanent penshenable hivyo atarudi TAMISEMI apangangiwe kazi nyingine
Kwa utaratibu huu wa sasa ambao hatuangalii sheria zinasemaje bali kwani kiongozi mkuu anasemaje? Kama hata mishahara tu imezuia, uwe uliomba kibali au hukuomba!!! Weee utaniambia, ndio basi tena.
 
Nasikia alifanya uamuzi akiwa ameleaa ulanzi wa songwe
Habari wana JF,
Kwa awamu nyingi Kigoma imekuwa miongoni mwa Mikoa michache inayozalisha wabunge wengi vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hatimaye kujipatia umaarufu mkubwa nchi nzima.

Baadhi yao huanza kuwa na kiburi Mara wanapojihisi wamefanikiwa zaidi kisiasa na kuanza kuwakejeli waliowafanya wafike hapo walipofika.

Uroho wa madaraka pia imekuwa kikwazo kwa viongozi wengi Vijana, Hutamani kufanikiwa zaidi kisiasa kuliko kufanya kazi walizoagizwa na wananchi Bungeni,Kafulila ni mmoja kati ya vijana walioingia Bungeni (2010-2015) kwa kasi na kupata umaarufu wa haraka kwa umahiri wake wa kufichua maovu mbali mbali katika Serikali hadi kufikia hatua ya kuitwa "tumbili".

Aliwahi kumkashifu ZZK aliyemshika mkono na kufanikiwa kuwa Mbunge wa JMT.

Licha ya kuwa mwanasiasa mzuri Amekuwa kijana mwenye Kiburi kwa viongozi wake na mwenye uroho wa madaraka vilivyompelekea kutimuliwa na Chama chake Cha Awali Cha CHADEMA na kutimkia NCCR-MAGEUZI ambako alipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika ngazi ya ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini na Kushinda, Alihudumu kwa Kipindi Kimoja na hatimaye katika Uchaguzi wa mwaka 2015 akashindwa na Mwana-mama Hasna Mwilima. Alikimbilia mahakani na kushindwa Mara kadhaa.

Akahamia CCM, Mheshimiwa Rais akamteua kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe kutokana na utendaji Kazi wake wa Awali... 2020 akajivua cheo Cha U-RAS na kutia Nia ya kuteuliwa na Chama chake kugombea nafasi ya Ubunge na Akapigwa kipigo Cha mbwa Koko.

MH. Rais aliwaonya wateuliwa wake na kuwakumbusha kuhusu Kisa Cha Mwananzila aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye alipotea Kisiasa kutokana na uroho wa madaraka. Kafulila amepotea tayari, Kafulila tumsahau Kabisa,Kapewa nafasi na mheshimiwa Rais kaona haifai asitarajie miujiza yoyote ya kupata nafasi ya Kuteuliwa na Mh. Rais.
 
Bashite anashinda msibani ili Magufuli akifika afanye awezavyo amsalimie maana simu zake mshua hapokei

Toka jana anaonekana hapo msibani, utadhani mkapa ni baba ake.
Hivi Bashite kashafika Msibani.!??
 
Habari wana JF,
Kwa awamu nyingi Kigoma imekuwa miongoni mwa Mikoa michache inayozalisha wabunge wengi vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hatimaye kujipatia umaarufu mkubwa nchi nzima.

Baadhi yao huanza kuwa na kiburi Mara wanapojihisi wamefanikiwa zaidi kisiasa na kuanza kuwakejeli waliowafanya wafike hapo walipofika.

Uroho wa madaraka pia imekuwa kikwazo kwa viongozi wengi Vijana, Hutamani kufanikiwa zaidi kisiasa kuliko kufanya kazi walizoagizwa na wananchi Bungeni,Kafulila ni mmoja kati ya vijana walioingia Bungeni (2010-2015) kwa kasi na kupata umaarufu wa haraka kwa umahiri wake wa kufichua maovu mbali mbali katika Serikali hadi kufikia hatua ya kuitwa "tumbili".

Aliwahi kumkashifu ZZK aliyemshika mkono na kufanikiwa kuwa Mbunge wa JMT.

Licha ya kuwa mwanasiasa mzuri Amekuwa kijana mwenye Kiburi kwa viongozi wake na mwenye uroho wa madaraka vilivyompelekea kutimuliwa na Chama chake Cha Awali Cha CHADEMA na kutimkia NCCR-MAGEUZI ambako alipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika ngazi ya ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini na Kushinda, Alihudumu kwa Kipindi Kimoja na hatimaye katika Uchaguzi wa mwaka 2015 akashindwa na Mwana-mama Hasna Mwilima. Alikimbilia mahakani na kushindwa Mara kadhaa.

Akahamia CCM, Mheshimiwa Rais akamteua kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe kutokana na utendaji Kazi wake wa Awali... 2020 akajivua cheo Cha U-RAS na kutia Nia ya kuteuliwa na Chama chake kugombea nafasi ya Ubunge na Akapigwa kipigo Cha mbwa Koko.

MH. Rais aliwaonya wateuliwa wake na kuwakumbusha kuhusu Kisa Cha Mwananzila aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye alipotea Kisiasa kutokana na uroho wa madaraka. Kafulila amepotea tayari, Kafulila tumsahau Kabisa,Kapewa nafasi na mheshimiwa Rais kaona haifai asitarajie miujiza yoyote ya kupata nafasi ya Kuteuliwa na Mh. Rais.
Bado ni mtumishi wa umna lakini. Usisahau
 
Kilamtu na apiganie akipendacho! Kafulila ameshakula Sana pesa ya ubunge tena yeye name mkewe... mnayemwonea huruma mnahurumisha maana wengi anawazidi mengi.
 
Back
Top Bottom