URODA wa kuwa mtanzania!

Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
455
562
Leo nakiri wazi wazi bila kificho sijutii kuwa mtanzania mweusi hata kidogo

Kwa uroda tunaopata Tanzania sina shaka ni wa pekee na una utamu adimu.
Ukikaa kidogo utaona maajabu ya Bulembo,hujakaa sawa mara raisi kashindana na waziri wa India kupiga ngoma,hujanywa hata maji utasikia huyu kijana wa kuitwa Dimpoz mara kakimbia OPARESHENI ya makonda na la ajabu nchini mwangu wakati wa kuisoma namba wote umefika wakati wimbo ulikuwa kwa ajili ya wale wa vidole viwili

Mzee mwinyi Tanzania ni uroda tupu anaebisha na abishe tu
 
Back
Top Bottom