Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 590
- 706
"Kijana mwenye akili muhimu kwake ni amani na upendo tu kutoka kwa wazazi/walezi. Mengine yote hujipambania mwenyewe. Mzazi anayehangaika kumrithisha mali mtoto ni kiherehere cha uzeeni ambacho kitaamua aidha ni mtoto awe mzazi na mzazi awe mtoto, hapo mzazi lazima aondoke haraka sana kwenye ramani ya dunia. Sawa na mwanasiasa aliyenaswa kwenye mtego wa tamaa kabla ya muda wake."— Alloyce, P.R. 😂😂😂