Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Mkuu pole kwa maradhi yako ya UTI Sugu isiyo sikia dawa za Hospitali nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole..habar za majukumu ndugu zangu....husiken na kichwa cha habar hapo juu....nimekuwa nikisumbuliwa na u.t.i ya mara kwa mara au naweza nikasema u.t.i sugu sababu haisikii kabisa dawa.
sasa naomba mwenye kujua dawa hasa napenda iwe ya asili anisaidie maana dawa za kizungu nimemaliza karibu zote lakin tatizo bado linaendele.
Natanguliza shukran zangu...cc mziz mkavu