wanajamvi mi kijana mwenye umri wa miaka 23,kwa sasa ni mwanachuo hapa udsm.nimekuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye nimepanga kumuoa aje awe mke halali.mdada huyu ye ni mwalim wa secondary huko mkoani,kabla ya mi kurudi huku dar chuoni nilikuwa naye kwa mda fulan ka week mbili hivi.lakini baada ya mi kuwa nimeondoka watu anaoishi nao wanasema amebadirika kkiasi cha wao kutokumwelewa vizuri!amekuwa akiomba ruhusa za mara kwa mara kwend mjini bila reason maalum,alaf kunatuhuma zngine nyingi tu ambazo yeye amezkana kabisa...hivi sasa mpaka naandika uzi huu yeye hayupo tena kituon amesafiri kwenda kumwona mamake.ila kabla ya kusafiri alinijulisha anakwenda tu nyumban na nilipomuuliza anaenda kufanyeje akasema anataka akaonane na babake aliyeko mwanza...ila jana kabadili na kunieleza anaenda kumwona mamake-mzee na mama hawaishi pamoja.inasemekana kutoka vyanzo vya uhakika kuwa amekuwa na uhusiano hivi karibun na mwalim fulan aliyekuja hapo shulen kwao ksimamia mtihani wa kidato cha nne......jamani nishaurini nifanyeje!? kwa sababu kila nikimuuliza anakataa na kusema haiwez ikatokea hivyo hata siku moja....msinikejeli kwa kuwa hiz ni changamoto za maisha ndani ya mapenz.naomba kuwasilisha uzi huu kwaajili ya msaada wenu tafadhari...
23 yrs bado mdogo sanaNenda darasani! Acha ujinga
Kweli kabisa jamaa ni kijana mdogo sana kuanza kumfikiria huyo mwanamke, akomae na kitabu kwa sasa.23 yrs bado mdogo sana
saka elimu chaliiii
au mpaka wale kichwa ndo akili atakaa sawa,
huyo si saizi yako, hesabu hapo umalize chuo utafute ajira ( approx 3yrs) ndo unapata ajira, atakuwa anakusubiri ww?
Au unafikiri naniliu yako ni almas, POLE SANA
Nakushauri fanya uchunguzi wako wa kina na utafahamu kama huyo dada anakucheat au vipi. kama unataka kujua umchunguzeje ni pm ntakufundisha, im serious!!
Naunga mkono, aendelee na uchunguzi. Mapenzi ni kama kikohozi, huwa hayafichi ipo siku atagundua!
Kweli kabisa jamaa ni kijana mdogo sana kuanza kumfikiria huyo mwanamke, akomae na kitabu kwa sasa.
Achana na habari za kumfuatilia kwa sasa, komaa na kitabu utaliwa kichwa shauri yako.
Pole sana
ka vp ncheki kwa cm yangu 0753914344&0682800341 au vp bro?
Achana na habari za kumfuatilia kwa sasa, komaa na kitabu utaliwa kichwa shauri yako.
23 yrs bado mdogo sana
saka elimu chaliiii
au mpaka wale kichwa ndo akili atakaa sawa,
huyo si saizi yako, hesabu hapo umalize chuo utafute ajira ( approx 3yrs) ndo unapata ajira, atakuwa anakusubiri ww?
Au unafikiri naniliu yako ni almas, POLE SANA
kasoro darasani kwetu tu enh?Kijana mapenzi na shule vimekatazwa....msikilize mbarak mwinshehe (RIP)
GPA ya 4.2 enh?walikwambia huwa zinabaki hivo hivo hata ukifeli sio?uliza wenzio walioanza na GPA za 4.5 wakamaliza na 1.2 ?chezeya kuwekeza kimoyomoyo!mwana wala ucjali,GPA yangu inasoma 4.2 nipo CASS!
calm down......
fanya uchunguzi kimya kimya... saa nyingine si kila unaloambiwa / unalosikia ni la kweli au likutie presha...
mfano ukifunga chuo unaweza kwenda kufanya uchunguzi, na angalia mwendo wa mwenzio, amebadilika nk