Urembo ulionishinda mimi.....

Mm kupaka wanja cwez,.
Kuvaa wig navaa kwan hua csuki cku nikijickia kubadilika navaa wig.

Kubandka kucha cjawai toka nizaliwe pamoja na kope

Kupaka cream kujichubua cwez
Najionaga km mshamba, kuvaa sket fup pia cwez, mm n ndefu tu plus suruali, hzo zngne nawaachia watoto wa mujiniii

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Vipi kuvaa cheni kwenye mguu,we hupendi??Kwenye kucha hapo kama una kucha nzuri hakuna haja ila kama hazina muelekeo ningekushauri uwe unabandika tu maana kuna zinazobandikwa zikapendeza mpaka ukahisi muhusika kazaliwa nazo,kuacha kucha zako za asili halafu vikucha vyenyewe vifupi mbele vimebinuka hiyo haikubaliki kwa kweli...
Jikubali, kucha za kubandika zina madhara makubwa
 
hahahaha unachosema mkuu ni kweli 100% nina shoga angu jaman ana sauti ngumuu! hahahah hajuag kubembeleza alwys yuko harshy! ila nampenda alivyo!

wanyakyusa bana sijui wana matatizo gani,wanawake ni wazuri tu ila hawaki kuwa natural....kujichubua sasa khaa!
afu wana sauti kali mno,hawajui kubembeleza kike eti..
Hii ni kweli! Nimekuwa nikijiuluza hii kitu kwa wanyakyusa, sauti kama wanatukana halafu nzito balaa, kiongozi wao Bahati Bukuku
 
Hii ni kweli! Nimekuwa nikijiuluza hii kitu kwa wanyakyusa, sauti kama wanatukana halafu nzito balaa, kiongozi wao Bahati Bukuku

hahhaha huyu yeye amechika kwa bwana kisa sauti! hajui kubembeleaza au kuongea kawaida! yaan ukwel nachekaga sana sabab za yy kuachana!ukikaa nae hata hotel akiwa anaagiza msos utahis km anachamba kumbe ndo ongea yake hahahaahahah
 
Teh najiona mimi
 
Hapo kwenye kuvaa wig ni shida au wanja hata kwenye nyusi tu... Bora mtu uwe natural kama mtu anakupenda akupende hvo... Unakuta mdada kajilipua had anafanan na kinyonga

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
tunarud kule kule jipende kwanza mwenyewe.....
 
k
Hapo kwenye kuvaa wig ni shida au wanja hata kwenye nyusi tu... Bora mtu uwe natural kama mtu anakupenda akupende hvo... Unakuta mdada kajilipua had anafanan na kinyonga

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app

kwahyo urembo wako ni nn mwanakwetu!
 
Jamani maweaving yanawasha, nilisuka nilitoka vipele kwenye paji la uso na shingoni halafu nashinda najipiga makonzi. . Sa hv naenjoy low cut yangu

Mi kuvaa leggings zimenishinda, kuvaa high waist imenishinda, michuchumio imenishinda, mahereni makubwa yamenishinda, bangili hunivalishi kabisaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom