mkuu unataka kutuambia kwamba hii ni miguu ya kuvaa 'rain boots' kila wakati?
avae haya...!
![]()
Mi ninavyoona hapo huyo mwanamke alibandika kucha ili zikatwe zikishachorwa...
sasa wewe umekunywaje bila kuchanganya na nanii wewe??.. halafu kwanini umeifungua mchana?
mnakoseaga masharti hivi hivi nyie....!!
ambianeni mnapokutana kwenye vibanda vya kupakia rangi!!
wa hivi sijui atatembea wapi!!
Urembo huo mamii
sasa katika warembo nae huyu mrembo ngozi yenyewe pamoja na kufanyiwa scrub lakini mbaya kama nini
huyu ukilala nae, miguu unafunga juu kwenye vitundu vya kubania neti!
ngoja ntakuelekeza..!! ngoja ninyonye maziwa kwanza!!
huyu inabidi alale style ya mbuzi kagoma..! teh!
Kama yangu...
ngoja ntakuelekeza..!! ngoja ninyonye maziwa kwanza!!