Ha ha ha kwani ukubwa wa lips unahusiana vipi na ukubwa wa ukoo/uwezo wa kula kwa wingi?...usiingie nae kwenye ligi ya kula chapati utaaibika mbayaaa...
Akupige denda nahisi atakausha mate yote kinywani
Urembo wa asili mh ukiona hivo katika mila za watu hao usipokuwa na hilo sahani la domo hufai hata kuolewa/si mwanamke uliyekamilika...
Ha ha ha kwani ukubwa wa lips unahusiana vipi na ukubwa wa ukoo/uwezo wa kula kwa wingi?
na akikausha mate anaanza na damu...Akupige denda nahisi atakausha mate yote kinywani
Akupige denda nahisi atakausha mate yote kinywani
duh urembo mwingine yataka moyo