uranium | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uranium

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by stevoh, Dec 6, 2011.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mi nashangaa hao viongoz wawil waliopita kutawala bush na clinton wamekuja fanya nn? Et clinton kaja kufungua kadispensar yan ni kadogo kuliko nyumba ya mzee wangu! Mi nahis uranium iliyoko ukanda wa kat dodoma is a reason for their ziara! Am i right
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  May be YES OR NO.
   
 3. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wao wamemaliza uongoz c akakae na familia yake uku panamuhusu nin? There must be a reason behind
   
 4. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Watanzania poleni! Madini yetu yanaporwa bila aibu! tena siku moja nilimsikia Mkapa akitamba kuwa Tz inafaidika na kukusanya kodi ya PAYE kwa wafanyakazi walioko kwenye madini! Watanzania tuna bahati mbaya ya kuchagua viongozi wasio na fikra! tena wanafanya haraka kuingia kwenye mikataba yenye maslahi kwa viongozi tu, tena wanasema ni siri!
   
 5. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama Uranium wachukue ila tuu sisi mikataba itakayowaruhusu kuchukua madini hayo iwe ya kutunufaisha wananchi!

  Kwa sis kutumia Uranium tunataka tuuane tuu hapa: What are we going to do with nuclear waste wakati household waste leo hii inatushinda kuishughulikia kikamilifu!!!????
   
 6. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hapo umenena bro! I got u hw about kuuza yote bila kuweka akiba na unajua kua sayanc na technolojia inakua 2takuja kutumia baadae
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wajinga ndio waliwao!!
   
 8. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  umejisahau kuwa na wew u a involved direct or indirect way
   
 9. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi Bush ana % ngapi kwenye kile kiwanda cha vyandarua pale arusha/Kisongo?
   
 10. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sio kiwandan sema kwenye uchumi wetu!
   
 11. H

  Hute JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,916
  Trophy Points: 280
  afadhali urenium wanunue wamarekani. kama wanakuja kufanya dili ili tuwauzie madini au waje kuchimba madini yetu kwa mikataba itakayotunufaisha na sisi kwani kuna tatizo gani hapo? shida yako ni wamarekani au ni urenium? sisi wengine tunawapenda wamarekani, sio wote wana mawazo kama yako.
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Alikuja kagua chaka lake Barrick Gold
   
 13. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Huyo jambazi aliyeuza NBC kwa bei ya peremende. Siku zake zinahesabika.
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Naambiwa benki hii ilijinunua kwa mtaji wake yenyewe! .......................pole Tanzania
   
 15. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mhhhh sijui kama kuna ukweli huo.
   
Loading...