Uraisi ni suala la Familia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uraisi ni suala la Familia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Azadirachta, Oct 14, 2010.

 1. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kauli bado inanipa kichefu chefu sana! Hivi huyu bwana akifanikiwa kuwa raisi akamchangua Ridhiwani kama Balozi wa Tanzania UN, Salma kuwa mbunge wa kuteuliwa na waziri wa Fedha, na Miraji kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, na Kale Ka Halfan kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kiteto kuna atakataye hoji? Maana Katiba yetu inamapengo sana raisi ana rungu kubwa sana!
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  .... Mmmmmmmmm!!!. baadaye Rais wa Maisha!!!! na kwa sasa Mgombea binafsi toka chama cha mapinduzi....na baadaye......... Siri yako 31/10/2010 ........ usimwangalie Nyani usoni wakati..........
   
 3. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani huyu bwana anaingia kwenye historia ya viongozi wabovu kabisa kutokea hapa Tanzania!
   
Loading...