Urais wa ZZK 2015 Kupitia Chadema: Kwa nini Wanatetemeka!, Kuweweseka! na Kutishika?!.

Status
Not open for further replies.
Wewe naye unazidi kukoroga ubongo wangu. Majasusi wa chama walitoa mapendekezo kadhaa, mojawapo likiwa kuundwa kwa tume ya chama kuchunguza ukweli wa tuhuma zile, jingine likiwa watuhumiwa wenyewe kujipima kama waendelee na nyadhifa zao. Kulikuwa pia na pendekezo la kufukuzwa uanachama mtuhumiwa mkuu.

Cha kushangaza, ikiwa imepita miezi tangu kufukuzwa hawa kina Shonza, mtuhumiwa mkuu si tu bado ni mwanachama bali anaendelea na cheo chake. Sijui kama hii ni baada ya tume kuundwa na kumkuta hana hatia, au amejipima akaona anastahili kuendelea na uongozi, au ile taarifa ilikuwa ni umbea, au chama kinaogopa kumchukulia hatua, so confusing.
 
Wakati tukimuhukumu Zitto, jiangalie uko kundi gani ndipo utoe hukumu yako!.
Pasco.
 
Atapata urais kupitia nccr sio cdm au aanzishe chama chake yy si maarufu aone akamuulize lyatonga
 
Kiuhalisia hvyo ndivyo vitu vinavyowakwaza hawa wazandiki na mafedhuli wa chadema hasa kibaraka hiki cha mbowe anayealalaisha Gongo Mchungaji Silaha
 
Kiuhalisia hvyo ndivyo vitu vinavyowakwaza hawa wazandiki na mafedhuli wa chadema hasa kibaraka hiki cha mbowe anayealalaisha Gongo Mchungaji Silaha
Kwanza huu uzi niwa walipwa ujira na Zito.Humu kama uzi haumsifu Zito unafutwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…