Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 884
- 953
Kilaaniwe kichwa chenye haya mawazo!
Kawadanganye wasiyo kuijua au wanao kuona kupitia jf.Mimi sina chama.
Kwa hiyo wewe unanijua ?????😂Kawadanganye wasiyo kuijua au wanao kuona kupitia jf.
Kuliko unavyo jijua wewe mwenyeweKwa hiyo wewe unanijua ?????
Thubuutu.Kuliko unavyo jijua wewe mwenyewe
Wacha weeeeee!!!!!Thubuutu.
Hakuna kituuJanuary Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.
Antony Mutaka anafaaa sana kuwa waziri mkuu wake mana ana UTU, mchapakazi, mbunifu, katika utendaji wake na speech zake huwa anajikita namna ya kuwakwamua watu wa kipato cha chini, ni mtu anayejitoa sana na pia hutoa maamuzi si kwa kukurupuka bali kwa kujiridhisha. Huyu anawajua watu wa hali ya chini vizuri.
Mawaziri ambao watatakiwa wawateue ili utendaji wa kazi uwe vizuri ni Paul Makonda, Bashe, Kalemani, Nape, prof Mbalawa, Lukuvi, Biteko, Dr. Bashiru, Prof Asssad, Zitto Kabwe, James Mbatia, Jussa, Fatma Karume, Jafo, Aweso, Kyombo, Ummy Mwalimu, Uttoh, Mafuru, Mchechu Prof. Lipumba na prof Kabudi.
Muunganiko mzuri wa watu masikini na matajiri ndio utaleta tija kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Iwapo patakuwa na ubaguzi au kuonewa kwa kundi mojawapo nchi yetu itakuwa bado tupo kwenye safari ndefu ya mafanikio makubwa ya kiuchumi.
Wakati huo huo alikuwa ni mbaya wa mzee MecoHakuna kituu
Kipaza sauti tuu huyo
Hana Ishu na ni msaliti huyoo
Leo nasema hivyo kama huamini iko siku utakuja kuamini.
Naa zaidi ni kipenzi cha mama huyoo
Ndio hafai hataWakati huo huo alikuwa ni mbaya wa mzee Meco
Huyu jamaa akipewa kiti tyu chakwanza anawauza wananchi!January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.
Antony Mutaka anafaaa sana kuwa waziri mkuu wake mana ana UTU, mchapakazi, mbunifu, katika utendaji wake na speech zake huwa anajikita namna ya kuwakwamua watu wa kipato cha chini, ni mtu anayejitoa sana na pia hutoa maamuzi si kwa kukurupuka bali kwa kujiridhisha. Huyu anawajua watu wa hali ya chini vizuri.
hivi wee wa kike au wa kiume?. Bilashaka ni mwandiko wa jinsia ya kike huu.Hivi mnaipenda kweli Tanzania ?
Labda uraisi wa wasafi au twanga pepeta,hata wasambaa wenzake hawawezi kumpa uraisi huyo alieshikwa kaiba mtihaniJanuary Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri.