gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,204
- 5,780
Wananchi wengine waliobaki uliwapima wapi?.au unawaza kwatumia akili za watu wengine.Aise kama wewe na ukoo wako wote hamuwezi kuongoza jisemee mwenyewe.Uraisi wowote ule unamhitaji mtu ambaye ni jasiri, mwenye maamuzi mazito na mwenye maono positive kwa ajili ya kampuni/taifa/jamii husika
Kama hana hivyo vyote basi hastahili kuwa kiongozi katika level hiyo.
Kwa wagombea wote wanaowania kiti hicho Cha uraisi hapa Tanzania ni magufuli peke yake anayestahili hicho cheo kwa sasa