KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
- Thread starter
-
- #41
hivi ccm nbona mna maneno, wenyewe kwa vijembe mnaongoza tukiangalia tukio linalokuja la 2015 mnababaika kwa kuwa na majungu mnawasabisha LOWASA NA SITTA kwa kutokuwa na amani mbona hilo hamlizugumzii na hata MWAKYEMBE akawa hatiani hivi hili hamlioni ?
kwanini mnawaziba midomo wanachama wenu wanapojaribu kusema mipango yao ya kisiasa ya huko mbele?ndio hoja ya msingi hapaUrais wa CDM 2015 HAUEPUKIKI. Soma alama za nyakati. Hata mabwana zako CCM wameshaliona ndo maana wanajiandaa kuwa wapinzani. Au hufuatilii yanayojadiliwa kwenye vikao vyenu?
CHADEMA NI KAMA CHELSEA!
Hakuambiwa aondoe jina lake kama zitto,vikao vya maamuzi ndio hujadili na kumpitisha mgombea anaeonekana kuwa bora,shibuda alikua bora ccm lakini bahati mbaya kwake kulikua na mgombea alionekana bora zaidi yake,kwanini na nyie msimuache then mkaenda kumchinjia kwenye vikao vyenu vya maamuzi,si mnavyo?mlikua na haraka gani?Kwani nyie mlimkata jina eti alitaka kupora urais wa JK?.Si mngemwacha atumie haki yke kidomokrasi
Tusipende siasa za fitina na majungu, chadema hawamuandami shibuda sababu katangaza nia ya kugombea urais, kikubwa mimi ninacholiona hapa ni matamshi yake ya kusema hakuna chama chochote kinachoweza kutawala tanzania isipokuwa ccm, hapohapo anatangaza kugombea kwa tiketi ya chama cha chadema.
Hayo mambo ya marehemu chacha wangwe na zito yanahusika vipi na mada hii ya shibuda?.
Hoja sio Shibuda kutaka kugombea urais,bali Shibuda kukidhalilisha chama mbele ya viongozi wa ccm,kwa kusema kuwa hakuna chama ambacho kinaweza kushika dola zaidi ya ccm,Je anafanya nini ndani ya CHADEMA kama anaamini ccm ni bora?
Hivi kuna shida gani mtu kutangaza kwamba anataka kugombea Urais. Kuna watu ambition yao ni Urais hivyo wakati wote wanaota kuwa Marais. Zile habari za kwamba muda wa kutangaza bado zimepitwa na wakati. CDM na hata CCM ziwaache watu wenye nia watangaze nia zao ili tupate muda mrefu wa kuwapima na kuwajadili kwa mapana na marefu. Masuala ya kuutaka Urais kwa staili ya nataka sitaki ni uzandiki. At least kwa sasa najua kuna watu wawili CDM wametamka kwamba watagombea kwa kufuata utaratibu wa chama wengine wanaotaka nao watamke na siyo kujiundia makundi kimyakimya. Hayo makundi siku yakilipuka utakuwa ndio mwisho wa chama.
Na ile ya chacha wangwe na zitto kabwe je?
Sioni shida Shibuda kutangaza nia ya kugombea urais. Ila sidhani kama alikuwa serious na tangazo lake hilo hasa ukizingatia kuwa alilihusisha na wapinzani wakuu wa chama chake yaani CCM.
Ila sipendi jinsi washabiki wa chadema wanavyokuwa mstari wa mbele kumrushia maneno na hata matusi yeyote anayehoji maaamuzi ya chama chao. Sidhani kama hii ni njia nzuri ya kuwashawishi wafuasi wa vyama vingine na hasa wale wasio wafuasi wa chama chochote cha siasa kuwa chama chao ni makini.
Ujumbe kwa wana CHADEMA: Sio kila anayehoji mambo ya CHADEMA ni CCM au Gamba kama mnavyopenda kuwabatiza. Kuna wengine ni wazalendo wa nchi hii na wangependa mabadiliko ya kweli. Ila wanahitaji assurance kuwa kweli CHADEMA inasimamia hayo mabadiliko wanayoyahitaji.
Hawa wasema kweli wa karne hii bwana, yaani watu wasichopenda kusikia ndio the truth?Bahati mbaya sana niko tofauti na wengi,sipo hapa ku win applouse but to speak the truth na yale ambayo watu hawapendi kusikia,that's my principle since day one najiunga jf
chadema-chama kinachojitambulisha kama ni cha kidemokrasia kwa mara nyingine tena kinaoneka kufeli mtihani mwepesi sana wa kuonyesha ukomavu wa demokrasia kwa vitendo hapana maneno.safari hii chadema kimekua tested na kada wake mashuhuri john magale shibuda ambae ni mbunge wa chama iko akiwakilisha wananchi wa moja kati ya majimbo yanyopatikana katika mkoa wa shinyanga.shibuda ambae alihamia chama iko akitokea ccm baada ya kudai kufanyiwa mizengwe baada ya kura zake kutotosha kwenye kinyang'anyiro cha ubunge ndani ya ccm hivi majuzi alijaribu kukipima chama chake kuona kama kweli kimekomaa kidemokrasia ama la kwa kutangaza nia tu ya kwamba atagombea urais kupitia chama chake kwenye uchaguzi mkuu ujao.baada ya kutangaza nia yake hiyo shibuda amekua akishambuliwa na wana chadema toka kila kona ya nchi hii akiwemo mwenyekiti wa umoja wa vijana wa cdm huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kupaza sauti kwamba shibuda afukuzwe,kisa nini?kwanini katangaza kugombea urais!!!!!!!!!!!! Hilo tu basi hawana lingine.itakumbukwa pia hali inayomkumba shibuda iliwahi kumpata pia marehemu chacha wangwe alipotangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa cdm na baadae uenyekiti ambao hata hivyo hakugombea tena,alifariki kwa ajali ya gari kabla ya kutimiza nia yake hiyo.baadae hali hiyo akaja kukumbana nayo zitto kabwe nae alipotangaza nia ya kugombea uenyekiti ba hivi majuzi tena alipotangza nia ya kugombea urais kwa tikiti ya chadema.yaliyowapata wanasiasa hao yanaacha maswali mengi juu ya hali ya demokrasia ndani ya chadema kiasi kwamba inatishia watu wengine wenye sifa za kugombea uongozi ndani ya chadema kujiuliza mara mbili mbili.