Urais CHADEMA it's like a death sentence! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais CHADEMA it's like a death sentence!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIM KARDASH, May 19, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Chadema-chama kinachojitambulisha kama ni cha kidemokrasia kwa mara nyingine tena kinaoneka kufeli mtihani mwepesi sana wa kuonyesha ukomavu wa demokrasia kwa vitendo hapana maneno.Safari hii chadema kimekua tested na kada wake mashuhuri JOHN MAGALE SHIBUDA ambae ni mbunge wa chama iko akiwakilisha wananchi wa moja kati ya majimbo yanyopatikana katika mkoa wa shinyanga.Shibuda ambae alihamia chama iko akitokea ccm baada ya kudai kufanyiwa mizengwe baada ya kura zake kutotosha kwenye kinyang'anyiro cha ubunge ndani ya ccm hivi majuzi alijaribu kukipima chama chake kuona kama kweli kimekomaa kidemokrasia ama la kwa kutangaza nia tu ya kwamba atagombea urais kupitia chama chake kwenye uchaguzi mkuu ujao.Baada ya kutangaza nia yake hiyo shibuda amekua akishambuliwa na wana chadema toka kila kona ya nchi hii akiwemo mwenyekiti wa umoja wa vijana wa cdm huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kupaza sauti kwamba shibuda afukuzwe,kisa nini?kwanini katangaza kugombea urais!!!!!!!!!!!! hilo tu basi hawana lingine.Itakumbukwa pia hali inayomkumba shibuda iliwahi kumpata pia marehemu CHACHA WANGWE alipotangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa cdm na baadae uenyekiti ambao hata hivyo hakugombea tena,alifariki kwa ajali ya gari kabla ya kutimiza nia yake hiyo.Baadae hali hiyo akaja kukumbana nayo zitto kabwe nae alipotangaza nia ya kugombea uenyekiti ba hivi majuzi tena alipotangza nia ya kugombea urais kwa tikiti ya chadema.Yaliyowapata wanasiasa hao yanaacha maswali mengi juu ya hali ya demokrasia ndani ya chadema kiasi kwamba inatishia watu wengine wenye sifa za kugombea uongozi ndani ya chadema kujiuliza mara mbili mbili.
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Gamba wewe, kaungane na wenzako akina shibuda, HATUDANGANYIKI na watu kama wewe. Kamfuate Nape akulipe posho yako, kwa kazi ulofanya.
   
 3. Mwananchi wa Kawaida

  Mwananchi wa Kawaida Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Hayawahusu magamba
   
 4. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mgamba maarufu. kaa kimya
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Uchizi huu!
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  naomba nikuulize hata mtu maarufu kama john magufuli akiingia kwenye mkutano wa chadema na kutangaza nia ya kugombea kupitia ccm na kumwomba mbowe awe meneja kampeni naomba utabiri kitakachotokea.
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Death Sentence iko wapi kwenye Urais wa CHADEMA? Kwa Shibunda ni Jinsi alivyotangaza na hata CCM wamemkana

  Ingekuwa bora Ubadilishe hicho kichwa cha habari; Sababu hakihusikani na story unayotoa

  * Kama unakumbuka Shibunda alitangaza kugombea Urais akiwa CCM; unakumbuka yaliyompata? Jina lake likakatwa kugombea Ubunge

  Ndio Maana akaamua kusimama kama Chadema - haukumbuki hayo? sasa hapo wapi ni death sentence?


  ** Ndio Maana nasema change your tittle haihusiani na death sentence at all
   
 8. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Shibuda awe Rais? Wa Tanzania? Duh! Mimi ni home Boy wangu but kwa title ya Urais hata msifanye nayo matani. Mnaona yanayotokea sasa na yote hayo ni mzaha wenu huu huu. ZK namfagilia kwa uwezo wake wa kujenga hoja na kufumua uozo but pia kwa title hiyo bado hafai. Inataka Wisdom ya hali ya juu sana. Kwangu mimi nawaomba wampe nafasi WS kama atakubali kugombea tena.
   
 9. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lkini shibuda kasema atamuomba slaa awe meneja wake wa kampeni za urais,kuna dhambi gani?kwanini msimuache atumie haki yake then mkutane nae kwenye vikao vya kuchuja wagombea?Heche na genge lake walikua na haraka gani nae kama sio uoga tu?
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Na ile ya chacha wangwe na zitto kabwe je?
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi watu walivyokupuuza tangu asubuhi ni watu 10 tu wamechangia huu uchafu wako na wote wamekupinga.
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya sana niko tofauti na wengi,sipo hapa ku win applouse but to speak the truth na yale ambayo watu hawapendi kusikia,that's my principle since day one najiunga jf
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,876
  Trophy Points: 280

  umesema sawa kabisa
   
 14. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  kk humu wa2 washakunywa maji ya bendera ya chadema kwa hivyo hakuna baya la cdm
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kipi ni sawa hapa? Death sentence??!! Na story za chacha wangwe??

  Sasa ni zamu ya wanawake........hii ndo death sentence ya democrasia.
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ndio tushirikiane kwa pamoja wapenda demokrasia wote kuwatibu hawa jamaa wanaumwa,lakini watpona tu,mimi nitawakazania mpaka waielewe demokrasia na misingi yake,hawawezi kujiita chama cha kidemokrasia halafu wakawa wanaibaka demokrasia then tunyamaze,hapana hapo tutakua hatuwasaidii.
   
 17. silvemaps

  silvemaps Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasaidizi wa ghadafi hata walipoona utawala unazama waliendelea kujitia moyo mpaka walipoanguka puuuu. si ccm endeleeni kujitia moyo.mimi ni msukuma nipo magu cdm ipo juuu sana wala hakun uchaga hapo
   
 18. SIERA

  SIERA JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,232
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mbona unayafatilia ya magamba
   
 19. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Wewe huwa ni MBUMBUMBU la kutupwa sema 2 huwa hujitambui tena hovyo kabisa mtu mzima na madevu yako hayo. GAMBA WA MILENIA WW.
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kojoa ukalale w gamba la karne.
   
Loading...