KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #41
hivi ccm nbona mna maneno, wenyewe kwa vijembe mnaongoza tukiangalia tukio linalokuja la 2015 mnababaika kwa kuwa na majungu mnawasabisha LOWASA NA SITTA kwa kutokuwa na amani mbona hilo hamlizugumzii na hata MWAKYEMBE akawa hatiani hivi hili hamlioni ?
Tunavitazama vyama vyote bila kuiacha chadema pembeni humu ndani,usivunje kioo ndio sura yako ilivyo,namaanisha usituchukiea sisi kwa kuiweka hadharani sura halisi ya chama chako,unachotakiwa ni kujiuliza mara mbili kwanini hali hiyo inakikumba chama chako?ni wazi kuna tatizo,shiriki kulitokemeza ili kurejesha demokrasia ya kweli nadani ya chama cha demokrasia..!