Kinyamagala
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 154
- 29
Ala kumbe nimegundua hiyo ndo politicaltrick ya mh.Zitto kulazimisha nafasi za juu ktk uongoz,yaani anagombea au anatishia kugombea nafasi ya juu katika uongozi afu ili apewe nafasi inayofuatia,nakumbuka alifanya hivyo pale keys hotel mwaka 2009 alipoanza kudai ukatibu mkuu wa chama eti ni mbadala wa Uenyekiti alioutaka.ETI KAMA SLAA AKIGOMBEA YEYE NDO ANAFAA UWAZIRI MKUU,N ANI KAKUDANGANYA?Labda unakijua chama kwa nje tu na wanasiasa wetu wa CDM