Urais 2015, kundi langu ni CCM

Urais 2015, kundi langu ni CCM

Dr. Mwigulu Nchemba

Tanzania Prime Minister
Joined
Feb 25, 2012
Posts
419
Reaction score
2,185
Wana jf Salaam,

Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.

Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.

Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.

Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.

Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.

Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.

Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.

CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.
 
i waste both my time, energy and including my bandwidth openning such a silly thread
 
Unatafuta huruma ya kundi uliloliepa awali ambalo kwa sasa unaona limeshika kasi!
Mpe hi Jesca Kishoa.....
Mwambie huna chuki naye maana ubunge ni kupokezana!
Kama ulivyoshinda bila baiskeli na gari wala kujulikana, basi na yeye atashinda kwa msingi huo huo!
Hizi ndizo siasa za kuingwana!
Nashukuru kwamba kwa leo hujaisema CHADEMA thread nzima!
Ila nilikuona kupotoka ulipotaka sheria ya kuwakandamiza wanahabari ipitishwe "HARAKA"!
Hukujua kwamba adhabu wanazopata wanahabari zinatosha na kuwazidi kimo?!
Kukosa ulinzi makini wa serikali ya chama unachokitumikia ni adhabu tosha kwao!
Mrejee Mwangosi, Mvungi, Shaban Matutu, Ndimara, Kubenea, Kibanda wengineo!
 
kabla ya kupost kumbuka hapa ni jf na sio fb!! Unafikiri nani hajui kua wewe ni kibaraka wa LOWASA?
 
Umenena vyema
Je una mpango wa kugombea urais?
 
Wana jf Salaam,

Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.

Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.

Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.

Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.

Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.

Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.

Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.

CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.

Karibu sana.Ili uaminike kwa hiki unachosema ungekanusha taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Chama chako Nape Nnauye kuwa ziara ulizofanya nje ya nchi Uingereza,Marekani na kwingineko si za chama huku ikijulikana kuwa ulikua ukiripoti tukio la ziara ile kama vile ulitumwa na chama

Hapa tulitaarifiwa kuwa msemaji wa chama alikuamuru urudishe fedha ulizotumia kwa ziara binafsi.Toa ufafanuzi maana pia tuliarifiwa hili lilitokana na ninyi kuwa kambi tofauti

Sasa hapa utakua unawahadaa wana-CCM wenzako kwa kutowaeleza ukweli

Ukiwa Mwanza tuliarifiwa humu kuwa ulimtangaza waziri mkuu wa Zamani aliyelazimika kujiuzulu kwa Kashfa ya Ufisadi na ukamnadi jukwaani.Hujawahi kutoa ufafanuzi.

Usimlaumu Mwita Maranya

NB:Vijana wa CCM humu msijibu kwa matusi.Muacheni Naibu Katibu Mkuu wenu ajibu.

Msihofu makosa yake ya kiuandishi aliyoonyesha hapa sitayatilia maanani.Ni tatizo dogo la spelling tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ukifanya siasa safi utakuwa huna kundi ila siasa hizi za kuchanganya na masuala ya kusema una ushahidi utautoa hadi mbinguni sio nzuri.
 
Maneno mazito sana kutoka Mwigulu nchemba, anasoma phD ya uchumi katika kile chuo cha taifa udsm.

Huyu mshikaji ukikutana nae na mkaongea, na akiwa jukwaani, na akiwa mtandaoni, na akiwa bungeni utagundua ni director of his own politics.
 
Wana jf Salaam,

Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.

Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.

Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.

Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.

Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.

Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.

Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.

CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.

Hammy D umerudi tena!!!
 
Back
Top Bottom