Urais 2015: Bosi mstaafu TISS matatani

Urais 2015: Bosi mstaafu TISS matatani

mlutheran

Ukishasema Mlutheri huna haja ya kusema Mlutheran ni sawa na kusema Mtanzania eti useme Mtanzanian! Hii kitu haipo! Kama kuna mtu alikufundisha hivyo alikulisha matango pori!
 
Yaani gazeti likianza kuandika HABARI KUU ni nukuu za umbeya ndani ya JF, hilo karibu linazikwa.
 
Hivi imeandikwa wapi kuwa kama mtu aliwahi kuwa usalama wa Taifa haruhusiwi kufanya siasa yoyote, mbona Marando, Mrema wanafanya siasa? CCM yamewabana sana kwa Lowasa huyu jamaa mnayemhusudu hamuwezi Lowasa , Lowasa anawezwa na Dr. Slaa pekee sio maccm yaliyobaki, kama mnabishi aje Pinda, Wasira January muona wanavyoangukia pua

Hata Mbatia ni walewale.
 
lakini huyo si ni mstaafu na ana haki ya kuingia kwenye siasa kama raia wengine?
 
TISS sio wajinga, hawawezi kujiingiza huko, msiwagombanishe na wananchi

...mbona wanang'oaga kucha,meno, macho na hata kuua wananchi kwa maslahi ya kisiasa (maccm)...
 
sijaona la maana hapa tunayafanya mambo ya kawaida kua makuubwa mara mambo ya kkkt mara mlurheran mara mlutheri mara wanawapigania maccm. hakuna jambo la ajabu hapa bado kabisa.. wakati mwingine tunajichanganya wenyewe tu tunajitisha na ujinga tu.
 
Back
Top Bottom