Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, TISS ambaye gazeti la SAUTI HURU limesema jina lake linalo kwenye mabano ameingia matatani baada ya kukiri kujiingiza katika sia
Imedaiwa pia kuwa kibosile huyo wa zamani wa TISS Amemrubuni Mwenyekiti wa NCCR, James Mbatia ili aweze kuwashawishi Wakatoliki na UKAWA ili kumuunga mkono LOWASSA.
View attachment 180970
source: SAUTI HURU.
Nadhani taarifa inamlenga Apson Mwang'onda, Mkurugenzi wa TISS mstahafu. Waliopo maadili ya kazi yanawabana. Hawawezi kujiingiza kwenye siasa za makundi
Magazeti mengi habari wanachukua JF. Ni bora ushinde ukisoma jf kuliko kusoma magazeti!
Thatha umekurupuka. Lowasa sio mkatoliki, ni mrutheli, atakama atatakushinda urais ambayo ni ngumu atahitaji uungwaji mkono sio tu na wakatolic bali madhehebu na dini zote. Mstaafu Apson kuwa mkurugenzi/meneja wa kampeini sio dhambi ni haki yake. Cha msingi kwake yeye na zaidi kwa watanzania atwambie kwa uwazi na bila kuwa na kificho atawafanyia nini watanzania na wapi atato fedha kughalimia hicho anachotuahidi. Bado tunakumbuka ahadi tulizopewa mwaka 2010 bila kujua zinatekelezwaje.
Na wewe umekurupuka lowassa sio mrutheli ni mlutheri
Habari zenu wanajamvi;-Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, TISS ambaye gazeti la SAUTI HURU limesema jina lake linalo kwenye mabano ameingia matatani baada ya kukiri kujiingiza katika siasa za Chama cha Mapinduzi , CCM.
Imedaiwa pia kuwa kibosile huyo wa zamani wa TISS Amemrubuni Mwenyekiti wa NCCR, James Mbatia ili aweze kuwashawishi Wakatoliki na UKAWA ili kumuunga mkono LOWASSA.
View attachment 180970
source: SAUTI HURU.
TISS sio wajinga, hawawezi kujiingiza huko, msiwagombanishe na wananchi
Habari zenu wanajamvi;-
Kwa mara ingine tena mh. waziri wa ardhi ambaye mwanzoni alikua mkurugenzi mkuu umoja wa mataifa Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka katoa safu yako mpya ya ushindi,
1. UADILIFU
2. UZALENDO
3. UCHAPA KAZI
3. TANZANIA NA WANANCHI KWANZA MAS ALA BADAE
4. RASILIMALI ZA TAIFA ZITUMIKE KWA MASLAHI YA WATANZANIA NA WANANCHI KWA UJUMLA
5. KUTATUA TATIZO LA AJIRA TANZANIA
6. KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII KM SHULE, HOSPITALI, MIUNDOMBINU N.K
7. KUTOKUWA NA MAKUNDI NA KUNDI ILI KUEPUKA KWENDA IKULU NA KUNDI LAKE
8. KUTEKELEZA ILANI YA CCM NA SEREKALI KWA UJUMLA
9. KUDHIBITI MAPATO NA KUONDOA UMASIKINI SAMBAMBA NA KUINUA UCHUMI ILI WASIOJIWEZA KUPEWA POSHO N.K
10. N.K
NAWASILISHA NDG. ZANGU.
Huwezi kupata uraisi kama wewe siyo sehem ya usalama wa taifa,Lowasa ajitathmin mno,
Thatha umekurupuka. Lowasa sio mkatoliki, ni mrutheli, atakama atatakushinda urais ambayo ni ngumu atahitaji uungwaji mkono sio tu na wakatolic bali madhehebu na dini zote. Mstaafu Apson kuwa mkurugenzi/meneja wa kampeini sio dhambi ni haki yake. Cha msingi kwake yeye na zaidi kwa watanzania atwambie kwa uwazi na bila kuwa na kificho atawafanyia nini watanzania na wapi atato fedha kughalimia hicho anachotuahidi. Bado tunakumbuka ahadi tulizopewa mwaka 2010 bila kujua zinatekelezwaje.
Kwani mkataba wake unamzuia?Kwa hiyo wewe ukiulizwa kwamba kuna tetesi unataka kuhamia Chadema halafu ukakanusha kwamba sio kweli lakini ukaongezea kwamba hata ukitaka kuhamia Chadema hakuna wa kukuzuia.. Utakuwa umekiri kwamba wataka kuhamia Chadema..?
Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, TISS ambaye gazeti la SAUTI HURU limesema jina lake linalo kwenye mabano ameingia matatani baada ya kukiri kujiingiza katika siasa za Chama cha Mapinduzi , CCM.
Imedaiwa pia kuwa kibosile huyo wa zamani wa TISS Amemrubuni Mwenyekiti wa NCCR, James Mbatia ili aweze kuwashawishi Wakatoliki na UKAWA ili kumuunga mkono LOWASSA.
View attachment 180970
source: SAUTI HURU.
Nadhani taarifa inamlenga Apson Mwang'onda, Mkurugenzi wa TISS mstahafu. Waliopo maadili ya kazi yanawabana. Hawawezi kujiingiza kwenye siasa za makundi
nina imani na TISS, NDIO TAASISI PEKEE YA UMMA ILIYOBAKI TUNAYOIAMINI KUTUTETEA WANYONGE..HUYO ATAKUWA BOSS NJAA/MCHUMIA TUMBO
Magazeti mengi habari wanachukua JF. Ni bora ushinde ukisoma jf kuliko kusoma magazeti!