Urafiki wa madesa unakera! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urafiki wa madesa unakera!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Apr 19, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wasichana wa chuo urafiki wa madesa siyo mzuri, inakuwaje unakuwa karibu na mtu mkiwa chuo tu hasa pale unapohitaji kufundishwa? Ukienda likizo kimya, ukirudi zinaanza sms za "I MISS U", Mara nilipoteza simu, mara ooh nimerenew line, naomba namba yako. Mnaowashobokea watu wa aina hii mnapoteza muda, kwani hakuna urafiki hapo.
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  waswahili walisema.....TENDA WEMA NENDA ZAKO.....!!!:yawn::yawn:
   
 3. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hili nalo neno,,,asante wifi kwa kunikumbusha.:hug:
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  huyu nae kasema ukweli mno!
  watuuuuu!
  inahuuu...
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tehe, tehe, tehe.
   
 6. T

  Tall JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.ulitaka ulipwe mkuu?????kwa servise ya tuition???
  2.kule home kuna wazazi,ndugu na vidume walivyosoma navyo vipo kibao......subiri zamu yako wakirudi likizo.
  3.lakini wakati mwingine ni kweli network haikamati. Kuna watu wanakaa porini kupita maelezo.
   
 7. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  asiyekuwepo machoni ........ teh teh yaani ndiyo unataka hata akiwa na switie wa ukweli achat na wewe ? Lol kila jambo na wkt wake bwana teh teh
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  siongelei kulipwa, bali ni unafiki uliotawala, mtu anajijali yeye tu na shida zake.
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  urafiki kama huu....................
   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mkuu ukipata tumia ukikosa jutia. Sasa akiwa likizo she is busy with someone akirudi be happy karudi salama.
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  tindikali bana!

  Unawaonea wivu wanafunzi wenzio wa kike? Mbona hata akiwa "HALL 7" anachukuliwa na vijana wa mujini unakaa kimya? Sasa iweje anapokuwa yupo Singida DUMUNI?

  Anywayz - Wakija tena kuomba madesa wakumbushe kuwa "there no such thing as FREE LUNCH"
   
 12. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  asante mkuu hapo umesema!!!

  alafu hiyo avatar yako inanikumbusha enzi zangu, mnajiandaa kwa sikukuu, mnatembea kijiji kizima mkila pilau kwenye majumba ya watu, alafu nashangaa sijui tulikuwa hatushibi au vipi!!!
   
 13. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "HI" and "BYE" friends.....USIWAZE wapo kwenye jamii.
   
 14. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa maandalizi ya mwenge wa uhuru. Imagine enzi hizo mwenge ulivokuwa, sherehe kama xmass.
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Pengine na kuzidi,maana kulikuwa na burudani lukuki hasa jioni/usiku.
   
 16. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Sie tulikuwa tunaenda wavizia mabinti waliotoroka kwao kuja kwenye mwenge, halafu cku zote tuliondoka kapa, si wajua vibijti vya shule visumbufu.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hawezi kuhangaika na mabuti wakati jua linawaka.Acha afurahie sendoz zake mpaka mvua inyeshe tena.Nwy urafiki wa kweli ni ule unaohangaikiwa wakati wote...mlio nao ni urafiki wa msimu kama huutaki uvunje!
   
 18. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  urafiki wa msimu kwangu hauna nafasi
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa badala ya kulalamika si umpotezee?
   
 20. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hahahahahah
  Wanachuo wanaita "kibuzi material" yaani baada ya chuo hakuna habari yake tena.
   
Loading...