Urafiki wa madesa unakera!

urafiki wa madesa vyuoni ndio urafiki mzuri kwan wote mmeenda kwa lengo la kusoma..sasa unataka urafiki uende mbali hadi kuazimana vitopu na kuibiana maboyfriend then iweje..shukuru ukipata rafiki wa kubadilishana madesa,hata mi ninao hao marafiki wa madesa..na ninae mmoja anaenidai madesa yake mpaka nakiona cha moto,sasa ingekuwa tunaurafiki wa karibu zaidi ya huo ingekuwa balaa pale ambapo tungekoseana..
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom