conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 718
- 569
NIMETUMA text massage kwa watu wangu nao amini wamewahi kuniomba Pesa wanapokuwa wamebanwa, waniazime sh.50,000 kwa HARAKA Sana, Wasichana 11.wameonyesha nia ila hawana kitu kwa Sasa, 5 wa kike wananitumia pungufu, 3.wa kike mpaka sasa hawajajibu, 2 wa kike wamenitumia 50,000 . WA KIUME kwenye 15 aliyejibu ni 1 amesema nimuone JANAURY 2021, kwa Sasa hayuko poa. Nilitumia njia ya whatsap inayoonyesha wameisoma, wengine woote wamelamba KIMYA. NIMETUMA text kwa wale ambao nimewahi kuwapa na kuwakopa si chini ya mara 5 Kila mmoja kwa MWAKA huu tu.
SOMO:, URAFIKI wa kweli utaupata kwa jinsia ya KIKE, kwa wanaume ni LETA KAMA TULIVYO.
SOMO:, URAFIKI wa kweli utaupata kwa jinsia ya KIKE, kwa wanaume ni LETA KAMA TULIVYO.