Urafiki wa kweli utaupata kwa jinsia ya kike, kwa wanaume ni leta kama tulivyo

conductor

JF-Expert Member
May 29, 2013
563
500
NIMETUMA text massage kwa watu wangu nao amini wamewahi kuniomba Pesa wanapokuwa wamebanwa, waniazime sh.50,000 kwa HARAKA Sana, Wasichana 11.wameonyesha nia ila hawana kitu kwa Sasa, 5 wa kike wananitumia pungufu, 3.wa kike mpaka sasa hawajajibu, 2 wa kike wamenitumia 50,000 . WA KIUME kwenye 15 aliyejibu ni 1 amesema nimuone JANAURY 2021, kwa Sasa hayuko poa. Nilitumia njia ya whatsap inayoonyesha wameisoma, wengine woote wamelamba KIMYA. NIMETUMA text kwa wale ambao nimewahi kuwapa na kuwakopa si chini ya mara 5 Kila mmoja kwa MWAKA huu tu.
SOMO:, URAFIKI wa kweli utaupata kwa jinsia ya KIKE, kwa wanaume ni LETA KAMA TULIVYO.

image_4d389668-4a4e-4ac2-ad55-fdb462d0381620201218_151416.jpeg
 
Dira Kali

JF-Expert Member
Dec 12, 2020
231
500
NIMETUMA text massage kwa watu wangu nao amini wamewahi kuniomba Pesa wanapokuwa wamebanwa, waniazime sh.50,000 kwa HARAKA Sana, Wasichana 11.wameonyesha nia ila hawana kitu kwa Sasa, 5 wa kike wananitumia pungufu, 3.wa kike mpaka sasa hawajajibu, 2 wa kike wamenitumia 50,000 . WA KIUME kwenye 15 aliyejibu ni 1 amesema nimuone JANAURY 2021, kwa Sasa hayuko poa. Nilitumia njia ya whatsap inayoonyesha wameisoma, wengine woote wamelamba KIMYA. NIMETUMA text kwa wale ambao nimewahi kuwapa na kuwakopa si chini ya mara 5 Kila mmoja kwa MWAKA huu tu.
SOMO:, URAFIKI wa kweli utaupata kwa jinsia ya KIKE, kwa wanaume ni LETA KAMA TULIVYO.

View attachment 1653393
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hao ndo mamen
 
Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,782
2,000
I usual tell my fellow football fans, stats doesn't show the whole picture..
Apply it here mate..
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,716
2,000
Hujaniomba mimi!!

Mimi namuheshimu sana mtu aliyenifaa kwenye shida yangu,wewe utakuwa hao wanao uliowa-text ulikuwa unawapa chini ya hiyo 50K wakati wao wakitaka 100K sasa wewe unalilia upewe hamsini nzima wakati wewe kuitoa hujawahi,hao wanawake wanakuweka kwenye target tu ili siku wachukue hapo za kutosha na kama ktk hao waliojitutumua yupo aliyetuma zaidi ya 15K kataa hapa,hao wa 50K jiandae kutumika sana!

Hujajua kitu,kukopeshana pesa kunakuwa kuzuri pale kila upande unapoamua kuwajibika kwa mwenzake bila kujali umetaka bei gani siyo unatoa chini ya kiwango na bado unapiga kelele nyingi simu kila saa siku likikufika mimi uliyenipa kiwango duni naku-shit tu namthamini yule aliyenifaa.
 
Ukisoma text yangu vizuri, usisahau paragraph " NIMETUMA text kwa wale nimewahi kuwapa na kuwakopa". Pia sijaeleza Mimi nimewahi wapa au kuwakopesha kiasi gani,. Aksante buddy
 
darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,277
2,000
Nakumbuka nilipewa sh.2,000 ya kula na msichana baada ya boom kuniishia kipindi hicho niko Chuo lakini nilichorudisha ni zaidi ya laki na kutumika sana kuandaa na kuandika presentation za semina.

Kila maswali ya presentation yanapotolewa alikuwa lazima niwe nae au aniweke kwenye kundi alafu ukimpigia anakuambia yupo 'off campus"! Ikikaribia presentation anatuma jina namba ya usajili na fedha ya kuprint!
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,588

Kuna ulichotegemea kutoka kwake, hukuweza kuejieleza.
 
Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
841
1,000
umeniudhi sana yaani unatutumia txt wanaume wenzio na upo ktk hali hiyo! mdau kuna tofauti kati ya sketi na suruali. try to understand, pia wanaume tunaelewana katika nyakati zote.
mwisho kabisa...
usijaribu kutulinganisha na hao viumbe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom