Mungu wangu nimeisoma kwa hisia Sana hii simulizi iliyojaa majonzi uchungu na mambo ya kuumiza Sana
Ni wazi Daudi alikupendq Sana kimapenzi lakini alisubiri muda sahihi utimie akufungukie lakini. Maisha hayakumpa hiyo nafasi
Yaah upo ila kunakua kuna mambo tunajitahidi sana kuyazingatia ili usije urafiki ukapotea au ikapelekea kuukosea urafiki huo. Ila hua inahitaji nguvu kubwa kiasi kwa sisi marijali.Je, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?
Upo sanaJe, kuna urafiki wa kweli usio na hisia za mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?
Kwa nini mlale kitanda kimoja?Je mnaweza kulala kitanda kimoja bila shida?
Siyo lazimaMazungumzo ya jinsia mbili tofauti zinazojiita marafiki daima huishia kwenye ujinga
Ni kipindi hicho bado mlikuwa hamjakuwa vizuri. Mnaweza kufanya hivyo sasa?Nikiwa form 6 kipindi cha necta nilikua na marafiki zangu wa kiume wawili tulikua tunadiscuss hadi usiku wa manane tukichoka tunalala kiroho safi
Amesema kipindi yuko Form VI!!! Hajataja ni mwaka gani alikuwa hiyo Form VI!!! Sasa hivi wanaweza kuwa tayari na mahusiano na watu wengine au hata wameoa na kuolewa. How comes unataka uwaunganishe tena leo 2026?Ni kipindi hicho bado mlikuwa hamjakuwa vizuri. Mnaweza kufanya hivyo sasa?
Kasema walikuwa wanalala pamoja na hakuna kilichotokea. Nikahoji je kwa sasa anaweza kuwa na urafiki wa hivyo?Amesema kipindi yuko Form VI!!! Hajataja ni mwaka gani alikuwa hiyo Form VI!!! Sasa hivi wanaweza kuwa tayari na mahusiano na watu wengine au hata wameoa na kuolewa. How comes unataka uwaunganishe tena leo 2026?
Yani kama mmoja ni uncle TInawezekana.
Kama mmoja Hana maajabu
Ukisoma post yangu kwa KUTULIA utaelewa hoja yangu.Kasema walikuwa wanalala pamoja na hakuna kilichotokea. Nikahoji je kwa sasa anaweza kuwa na urafiki wa hivyo?
ukiwa umekauka unaweza kuwa fimbo ya kutembeleaToka lini muwa ukawa fimbo ya kutembelea?
Nililala kwake kutokana na changamoto za maisha.. Tulilala mzungu wa nneInawezekana.
Kama mmoja Hana maajabu