Mtu siku zote ukiwa mkweli unakuwa huru.
Nilikuwa zangu kwenye daladala natoka town nikakutana na baba mmoja wa makamo.
Tukapiga stori tukapeana namba za simu.
Tulipofika mwisho wa gari akaniambia ngoja nikafuate gari langu nililiacha sehemu. Nikamwambia poa
Tumeendelea kuwasiliana ila kila nikimchokoza khs gari anakuwa mkali. Nikimwambia nataka twende wote mjini visingizio.
Akiwa mjini akakwambia yupo na gari ukimwambia na wewe upo mjini akusubiri anapotea hewani. Na mifano mingi nisiwachoshe.
Sasa kubwa ni pale aliponiambia yupo njiani anaenda mjini nikamuona kapanda daladala kiti cha mbele kaweka kushoka tangu hapo no communication.
Jamani kuwa mkweli ili uwe huru.