Urafiki umeisha kisa gari

Urafiki umeisha kisa gari

Yawezekana hujajua ninachokilalamikia.
Niaminivyo mimi km asingesema ana gari huyu mtu angekuwa na uhuru zaidi. Ila amekosa kuwa huru kutokana na hofu hiyo.
Na kitendo cha kunibia anadrive nikamuona kwenye daladala kilimfedhehesha sana. Kwa misingi hiyo ndo maana nasema akakata na communication ukipiga hapokei.

Kwani wenye magari binafsi huwa hawapandi daladala? Au wanaopanda daladala wote hawana magari yao binafsi?
 
Na si kuwa wala alinitaka kimapenzi. No just a friend labda km alikuwa anataka kuelekea huko.
Na vilevile as I said ni mtu mwenye familia yake and I have mine too.
Kwa misingi hiyo ukisoma thread yangu utaelewa vizuri nalenga nini na wala silalamiki.
Ila nawashauri watu tu kuwa wakweli.
Thanks

Kuna thread ilisha letwa na masai dada kuhusu confidence na wanaume!

Tatizo liko hapo!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wenye magari binafsi huwa hawapandi daladala? Au wanaopanda daladala wote hawana magari yao binafsi?

Nanukuu alivyoniambia.
""Unasemaje nipo njiani nadrive naenda town"" ghafla namuona yupo kwenye daladala.
Kwa hiyo kuwa na uelewa huo.
Nashukuru kwani najua umenielewa
 
Na si kuwa wala alinitaka kimapenzi. No just a friend labda km alikuwa anataka kuelekea huko.
Na vilevile as I said ni mtu mwenye familia yake and I have mine too.
Kwa misingi hiyo ukisoma thread yangu utaelewa vizuri nalenga nini na wala silalamiki.
Ila nawashauri watu tu kuwa wakweli.
Thanks

Just a friend!!Hapa ndo huwa mnabugi dada zangu lazima jamaa alikuwa anaelekea kwenye kugegedana tu.

Hiyo inaitwa Friendship for a purpose.

Huyo mshua hakuwa mhaya kweli? Maana hizo ni Kanyigo-like mbwembwe.

Endelea kumpigia kuulizia habari za gari mpaka abadili namba ya simu.
 
Nanukuu alivyoniambia.
""Unasemaje nipo njiani nadrive naenda town"" ghafla namuona yupo kwenye daladala.
Kwa hiyo kuwa na uelewa huo.
Nashukuru kwani najua umenielewa

Mm ninayo na ningependa tuwe marafiki unasemaje kuhusu hili? ?
 
Mm ninayo na ningependa tuwe marafiki unasemaje kuhusu hili? ?

Nashukuru kwa mchango wako na kwa kujitolea kuwa na Mimi simply you hv a car!!!!!
Naomba niishie hapo kwa lengo moja tu la kutokuwaudhi wale ambao wanataka kuendelea kutoa maoni yao.
Thanks I appreciate and value your contribution
 
Psychologically..mwanaume ukiwa na gari linaongeza hata nguvu za kiume..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom