PantaleoGregory58
Senior Member
- Nov 2, 2014
- 107
- 25
Jamaa hana swaga ni immaterial anatumia vitu kumvuta mwke badala ya kushuka mashairi yatakayo mlainisha
...Akiwa mjini akakwambia yupo na gari ukimwambia na wewe upo mjini akusubiri anapotea hewani....
Itakuwa jinsia ya kike, na alikuwa ameshamkubali jamaa! Ila sasa inashindikana kwa sababu swaga za jamaa zimefeli na jamaa anaona soo kuendeleza mawasiliano.
Mtu siku zote ukiwa mkweli unakuwa huru.
Nilikuwa zangu kwenye daladala natoka town nikakutana na baba mmoja wa makamo.
Tukapiga stori tukapeana namba za simu.
Tulipofika mwisho wa gari akaniambia ngoja nikafuate gari langu nililiacha sehemu. Nikamwambia poa
Tumeendelea kuwasiliana ila kila nikimchokoza khs gari anakuwa mkali. Nikimwambia nataka twende wote mjini visingizio.
Akiwa mjini akakwambia yupo na gari ukimwambia na wewe upo mjini akusubiri anapotea hewani. Na mifano mingi nisiwachoshe.
Sasa kubwa ni pale aliponiambia yupo njiani anaenda mjini nikamuona kapanda daladala kiti cha mbele kaweka kushoka tangu hapo no communication.
Jamani kuwa mkweli ili uwe huru.
Gari tu...??? Haya ni pm mkuuu.. .
Hata mimi ningekuwa napotelea hewani. Huwezi jua mipango yake mkuu. Kama amepanga akitoka town, aupitie mchepuko wake sehemu then apumzike mahali flani, huoni kama utakuwa unataka kuingilia uhuru wake? Acha hizo bana...
Urafiki haujaisha kisa gari. Umeisha kwa sababu wewe msumbufu sana.
baba wa makamo????unawasiliana nae vipi
MKINYOLEWA MNALALAMIKA
am sure ana familia yake huyo....sasa sijui mnawasiliana nini
Mtu siku zote ukiwa mkweli unakuwa huru.
Nilikuwa zangu kwenye daladala natoka town nikakutana na baba mmoja wa makamo.
Tukapiga stori tukapeana namba za simu.
Tulipofika mwisho wa gari akaniambia ngoja nikafuate gari langu nililiacha sehemu. Nikamwambia poa
Tumeendelea kuwasiliana ila kila nikimchokoza khs gari anakuwa mkali. Nikimwambia nataka twende wote mjini visingizio.
Akiwa mjini akakwambia yupo na gari ukimwambia na wewe upo mjini akusubiri anapotea hewani. Na mifano mingi nisiwachoshe.
Sasa kubwa ni pale aliponiambia yupo njiani anaenda mjini nikamuona kapanda daladala kiti cha mbele kaweka kushoka tangu hapo no communication.
Jamani kuwa mkweli ili uwe huru.
Huyu binti sijui mama hamjamuelewa,actually anachosema ni kuwa wamekutana na mbaba mmoja akawa amemzimia au amemkubali sasa mbwembwe za yule jamaa kujifanya ana gari kisha huyo mdada akamkamata uongo zimemfanya jamaa apotee kwa aibu na hataki hata kupokea simu.Yatawatoa roho magari ya watu haya jaman lol...!
You are right. Tatizo hapa si gari bali usumbufu. videmu vingine ukishavipa namba basi inakuwa balaa.
Huyu binti sijui mama hamjamuelewa,actually anachosema ni kuwa wamekutana na mbaba mmoja akawa amemzimia au amemkubali sasa mbwembwe za yule jamaa kujifanya ana gari kisha huyo mdada akamkamata uongo zimemfanya jamaa apotee kwa aibu na hataki hata kupokea simu.
huyo hapendiki2 ndo akaja hapa kulalamika ama kusema amekutana na huyo jamaa ila ndo kateleza baada ya kumgundua swaga zake ni za kugushi.
Itakuwa jinsia ya kike, na alikuwa ameshamkubali jamaa! Ila sasa inashindikana kwa sababu swaga za jamaa zimefeli na jamaa anaona soo kuendeleza mawasiliano.