Si mpaka huyo mwanaume akubali uambatanw naye.. Wengi wao wanaona kama wanabanwa kwenda kwa washkaji zao. Wanadai wanahitaji privacy!!!!!!!!!!
Usemacho ni kweli nyumba kubwa..... They are very smart hata katika kujieleza kwa wake zao. Na kwa bahati nzuri au mbaya huwa wanapata wake wapole kweli.
Mie hapa ni muhanga wa huo urafiki ingawa ni kwa boyfriend wa mtu na sio mume wa mtu. Mwisho wa siku nilijikuta matatani baada ya girlfriend wa huyo jamaa kuhisi mie natoka na jamaa yake kumbe we were friends with benefit.
Dah kidogo nihamishwe mji, ila kwa sasa tumepunguza ukaribu kwa kiasi kikubwa!!!!
Tunahitaji sana kampani ila wake zetu wakiona hulali usiku mpaka ujibu page 10 za maswali na ujibu kulingana na marking scheme yake. Ili kuepuka hilo basi tunajitenga ingawaje kwa maumivu
kwani uongo????au niweke miexampo humu???
Changia babaaaa!!!!!!!!!
WEKAAAAAAAAA!!!!!!!!! Tupia tupia!
Hahahaaaaaa! GF tu hata pete hana ndo akuhamishe mji? Aaaaaah wapi! Mi hata mkewe akija juu nitamuomba ushahidi wa wapi tulipomkosea?????
History ni watu kwenye unywaji nikiwakaribisha waongeze bili, na wasinywe kwa mawazo saa ya kuondoka wanaanza kuuliza yule ndo shemeji mpya? Flani imekuwaje? Nawaambia ukweli! Nooooo! Yule ni Flani rafiki yangu, ana MKEWE na Mtoto, jst company!!!!!! Ndo wanaanza risala zao ndeeefu! Na bia walizokunywa wanaanza kuziona chachu!!!! LOL! Japo wengine vichwa vibovu wanadai kama shamba limenishinda niwaunganishe wao wakalilime!!!!!!!!! Sasa nikiwagomea kuwa Noooooo! Yule ana MKEWE na Mtoto wanaanza kunigeuzia kibao kuwa sina lolote kama ana mkewe mimi nafanya nae nini pale!!!!!! Tena wana nituhumu mie ndo mnafiki zaidi coz simpi chochote zaidi ya kumlia pesa zake! LOLEST! Bora niwaachie wao wampooze! Sasa unaona mi simtendeshi dhambi na siruhusu mtu amtendesha dhambi! The Wife is Safe with Me!
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!
Peopleeeeeeeeessssssssssss!!!!!!
Jamani ile tabia ya ubesteee na Mume/Mke wa mtu wa kukolea japo hamfanyi chochote jamii inauchukuliaj! Mfano wa company ya Bier, na mitoko maybe na stori stori za maisha!!!! Eti kama umeolewa afu mumeo ana rafiki rafiki mdada will it bother you?
For me sioni tatizo coz vita ushavishinda na ndani umewekwa, sasa kwanini usijiamini!? For me i have a friend this married guy tulikuwa tunafanya kaz wote zamani, he is super nice, sio mchoyo kabisaa, plus anaenjoy company yangu sanaaa! Hajawahi kuniomba kidude! Kjistukia tu na kumpotezea naona sio haki, sababu mtu hajanikosea chochote! hatujakwaruzana! Tena kila mda anamuongelea mkewe like its kitu cha kawaida!
Japo kuna wadu wananiponda sanaaaa! Sasa mi sioni kosa liko wapi? He is not cheatting on her!!!! Wala hajawahi kugusia hilo swala! Kwani a dude akioa ndo mwisho wa urafiki wake na wadada!???? Kosa lake labda kutoa offer za bier!
Eti wajameni hapo kuna utratra wowote ili nimpotezee huyu baba flani au it is okay kumchangamsha changamsha bab flani wa watu!
mwanzoni urafiki kama huo huwa hauna madhara (harmless) lakini taratibu feelings huanza kwa hao wawili! katika siku isiyojulikana watajistukia wamevuka mipaka ya urafiki wa kawaida. pia napenda kumuuliza mtoa mada, je mke wa jamaa anajua urafiki wenu?
Ananijua jina tu ila hajawahi niona!!!!!!!!!!! LOL! Akiniona patachimbikaaaa!