wat do you care????? hizo ni shida zake na wala si zako....isitoshe ni jukumu la wify wake kuilinda ndoa yake/mume wake....na ni jukumu la huyo mume kumkeep mkewe safe and not you for God's sake!!!! the safety of his wife is not your responsibility at all!!! otherwise useme umeanza kufall in love na huyo mume wa mtu......wivu ni dalili ya hilo!!!!
kuna jamaa ana mke wake, na huwa anaenda kwake na mwanamke mwingine kamtambulisha hadi wife kuwa yule ni rafikia ake, kumbe kiburudisho chake huo si ufala unafanyiwa....
kwangu mie hiyo kitu hakuna, hata rafiki angu mazoea na shemejiye sitaki!!!!
heeee!!!! leo acha tu niwe mrengo wa kushoto kwakweli.....
urafiki na mupenzi hapana asee, labda kama nitakuwa part of that outings....
na penyewe ni labda.... yani naongea kwa herufi kubwa SITAKI!!!!!
HAHAHAAAAAAAAAAAA! Mjini mipango bibi weweeeeee! Kikulacho ki nguoni mwako!
Bwana there things l am not buying, moja wapo ni hilo la yellow card. Haya tufanye things are not well with ur BF; unafikiri kwa kutoka out na a married man itayafanya yawe better?
Haya kama you don't feel guilty kwa mume wa mtu kuprefer kumaliza Mwaka na wewe badala ya Mke wake au rather familia yake, sidhani kama kuna kitu nitakwambia uone dhambi. Kuna mtu alisema akiDO na condom anakuwa hajatenda dhambi kwani niliplastic na sio nyama. Na ukifuata reasoning yaks she might be right. Usimtie mwenzio KATIKA VISHAWISHI (sijui huwa anaSAY OUR FATHER) maana dhambi anazotenda ni pamoja na KUTOTIMIZA wajibu.
Ulisali jana? Unajua ilikuwa siku ya FAMILIA takatifu; assume lara 1 is keeping Joseph from Mother of God! (this one has to get you! LOL)
Kale kababy; so the guy is not old after all. Sijui kwanini nilifikiria ni mtu wa in his late 40s au 50s.
Do kama wana katoto kamoja, mkewe anaweza kuwa in her 30s at most. Duh!
Hahahaaaaaaaaaa! Hilo la yellow card huyu haliaffect sanaa coz huyu Mbaba alikuwa my friend and aliendelea kuwa my friend for all these 3 yrs na hakuwahi kuaffect anything!!
Jana kweli aisee ni siku ya The Holy Family na nikuwamo church na lile neno la Collosians na Wisdom lilinichoma kweliii!!!!!!!
Kweli inawezakana ni nimeshakosea sanaaa, ukute anamuonea mkewe kwa jeuri ya kupata company yangu! I will redraw the guide lines and conditions!!!!!!! I jst didnt look at things from the wifes angle!!!!!!
Hahahaaaaaaaaaa! Sio wivu hii ni moja ya charitable activity yangu kumake sure ndoa inadumu kwa manufaa yetu wote!:cheer2:. He is my friend na mkewe nae ni kama my firiend pia coz i know kila kinachoendela ndani kwake, hata plans za familia yao in 5 years nazijua!!!!!! Sasa shangingi likija likmsambaratisha mama wa watu na kale kababy siwezi kujifanya kama siwajui vile!!!!!!!!!! LOL!
Mi naona kumpotezea sio ustaarabu, baada ya wema wote alionitendea contless times nijifanye sasa ndo namuona hana maana it will be unfare!!!!!!!! Maybe tu ni renew guide lines na rules za kumbana zaidii ili ashindwe mwenyewe tu!!!!!!!
Kale kababy; so the guy is not old after all. Sijui kwanini nilifikiria ni mtu wa in his late 40s au 50s.
Do kama wana katoto kamoja, mkewe anaweza kuwa in her 30s at most. Duh!
na kwann udhani ni jukumu lako kufanya hiyo unayoiita charitable activity??? why you and nt smone else???
kosa lingine la huyo mume ni kuanika ishu za familia yake kwako....anakueleza mambo ya familia yake ili iweje???
hayo ya shangingi kusambaratisha hiyo ndoa wewe yanakugusa vipi??? kwani wewe ulikuwa msimamizi wa ndoa hiyo???
so kama angekuwa hajakutendea wema wowote ingekuwa kwako ustaarabu kumpotezea??? unalipa fadhila??? hadi lini??ili iweje?????
Yaani nilikuwa na picha ya sad old man; si unajua wanakuwaga kama watoto kumbe ni kijana tu.
Ameshaona uzito, si umemsoma anatafuta njia ya kuchomoa. She is sweet inside ingawa anatumia nguvu nyingi kuprove otherwise!
Again; have a great day!
na kwann udhani ni jukumu lako kufanya hiyo unayoiita charitable activity??? why you and nt smone else???
kosa lingine la huyo mume ni kuanika ishu za familia yake kwako....anakueleza mambo ya familia yake ili iweje???
hayo ya shangingi kusambaratisha hiyo ndoa wewe yanakugusa vipi??? kwani wewe ulikuwa msimamizi wa ndoa hiyo???
so kama angekuwa hajakutendea wema wowote ingekuwa kwako ustaarabu kumpotezea??? unalipa fadhila??? hadi lini??ili iweje?????